Recent content by Ipromise to be loyal

  1. Ipromise to be loyal

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo

    Maneno yenye busara
  2. Ipromise to be loyal

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa binadamu anaweza akafa akiwa mwanaume ila katika re birth akawa mwanamke?

    Ukute alikua kuku saiv nd kabadilika kawa binadamu
  3. Ipromise to be loyal

    JamiiForums Tanzania Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

    Sasa utachagua kuoa ambae hajui maana ya mkeka kuchanika na anaejua mkeka kuchanika kaz kwako
  4. Ipromise to be loyal

    JamiiForums Tanzania Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

    Ss mtaoa ao wanaa au nd mtatafta ambao hawajui kubet😂😂😂
  5. Ipromise to be loyal

    JamiiForums Tanzania Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

    Akina TNS , Barry town , penybont mnatufundisha wenyew af mkija jf mnatuita wanaa🙌
  6. Ipromise to be loyal

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

    Hiyo n hulka ya mtu mwenyew ila sio wanaume wote nd tabia zao zipo hvyo
  7. Ipromise to be loyal

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

    Sasa apike nani afue nani tatz hii 50_50 inatuharibu sana wanawake mwanaume kaz yake n kutafuta ili aitunze familia mwanamke kazi yake n kumliwaza mwanaume kutokana na kuchoka alooo
  8. Ipromise to be loyal

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana mke wangu lakini huu mchepuko nashidwa kabisa kuuacha

    Heee mamb mazito sio haba
  9. Ipromise to be loyal

    JamiiForums Tanzania Oa au Olewa na MCHA MUNGU na siyo MCHA DINI. Epuka matapeli

    Hawajui kutofautisha mtu mwenye hofu ya Mungu na wacha Mungu hawa n watu wawili tofauti kabisa
  10. Ipromise to be loyal

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina hali tete

    Huyo bado kijana mdg kbs apo wangekaa chini km kuna tatz waelezane ss cha kumwambia mwenzie mzee n nn sasa jmn
  11. Ipromise to be loyal

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina hali tete

    Ila wanawake tuna nini lakin sasa miaka 34 n mzee😳😳
  12. Ipromise to be loyal

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa afisa manunuzi? (Procurement Officer )

    Afanye mazingatio km hana connection aendelee tu na iyo masoko nimeongezea msisitizo
Back
Top Bottom