Recent content by ipinho

  1. ipinho

    Hii ndio hesabu ya magazijuto inayotaka kutumika kumng'oa Sugu Mbeya

    Wana jamvi poeni na miangaiko pamoja vyuma kukaza leo nina tathimini ndogo juu ya Mbeya, Mbeya ni mji unaokaliwa na makabila mbalimbali lakini wasafwa ndio wenyeji... wageni ni kama 40% na wasafwa kama 60% hivi ccm wakakaa je Sugu huyu mkinga anawezaje kuanguka ? tutafute mgombea Msafwa...
  2. ipinho

    Dodoma: RC Makonda aongea na Wanahabari akiwaarifu ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia Dar Es Salaam

    Tuone waaandishi vimbelembele marufuku kwenda dogo anajeuri sana si amefungua blog yake apeleke ushuzi wake huko.
  3. ipinho

    Nitasema ukweli Daima Fitna kwangu mwiko

    Leo sijui kwanini nimekumbuka hadithi moja ya Abunuwasi. Hapo zamani za kale Abunuwasi alimuendea mfalme akamwambia anaweza kumshonea suti ya thamani sana ambayo wenye dhambi watakuwa hawaioni na wasio na dhambi tu ndio watakuwa wanaiona. Mfalme akampa kazi Abunuwasi ya kutengeneza suti ya aina...
  4. ipinho

    Mwakyembe kama kipo anachokiamini basi ni madaraka tu

    Niliwahi sema Mwakyembee ni msomi wa sheria kiwango cha PHD, lakini hana hekima. Ana elimu kubwa lakini hajamsaidia wala kumjengea uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kama kiongozi. Hana msimamo wala anachokiamini. Kama kipo anachokiamini, basi ni Madaraka. Wanaofuatilia na kutafakari juu ya...
  5. ipinho

    Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

    Unataka mpaka roho za watu na damu zimwagike ndio ujue kuvamiwa na siraha maana yke nini ??
  6. ipinho

    Clouds wahaha baada ya kum-record mwanamke anayedai kazaa na Askofu Gwajima

    Ufafanuzi ni wamuhimu sana vinginevyo watachukiwa sana
  7. ipinho

    Kwenu CCM, siri yao sasa imefichuka

    Msishangae huyu mi moja ya wale wasaniii waliolipwa anaendelea kutumbuiza...!!
  8. ipinho

    Magufuli wana hasira na wewe, mpe Makonda Unaibu Waziri Mkuu, anaweza

    Sawa basi awe naibu Waziri Mkuu na pia Wale wote waliokutwa na vyeti feki wakaondolewa waludishwe tena wapewe Vyeo zaid ya walivyokuwa Navyo...!!
  9. ipinho

    Mama Kilango Malecela alitumbuliwa haraka sana, ila Makonda mmmmh

    Roho mbaya kwani wale watanzania waliotumbuliwa tena wengine walibakisha miezi michache wastaafu wapate mafao yao wakatumbuliwa sasa uyu Daudi kwann asitumbuliwe
  10. ipinho

    Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

    Yani sisi hatuja ajiliwa mpaka leo sababu ya watumishi hewa afu Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Darisalama ikithibitika Kama ni kweli aachwe hii dhambi na machungu tulio yapata mwaka wa pili sasa inanena mema pale ofisini kwako Pazuri kuliko ofisi zote za wakuu wa Mikoa.
  11. ipinho

    Hongera Rais Magufuli, ujenzi wa barabara za juu Ubungo kuanza rasmi

    Alichotuahidi ni viwanda sio barabara za juu tunataka na Ajira uku mtaani njaaaa mxieeeeew
  12. ipinho

    CWT, Serikali,Body ya Mikopo, Wizara Ya Elimu Sikieni Kilio Cha Walimu.

    Nautambua Mchango wa Waalimu na ndio maana nimeona nilisemee hili linaumiza Sana.
  13. ipinho

    Maajabu ya Tanzania: Mbowe kudai fidia ya kuchafuliwa

    Wambie waende Mahakamani au kama vipi Nenda wewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom