Maajabu ya Tanzania: Mbowe kudai fidia ya kuchafuliwa

Hiyo fidia labda atalipwa na Vichaa
lakini kama anategemea kulipwa na Makonda afute wazo kabisa

Mkuu;
Nakuaminia sana Sseboo! Ila kuna maneno najiulizaga huyu mtu alikuwa na bapa mkononi bila glass au?? Huyo Makonda nnani hata asilipe fidia?? Yeye kama kwako ni mungu, sio kwa wote. Wapo wenye uwezo kuamuru afilisiwe ili Mbowe alipwe. Nayo ni Mahakama ya sheria. Unaposema kuwa afute wazo la kulipwa inaonesha unajua hiyo kinga ya Makonda ambayo siye hatuijui. Ina maana ka makonda angeamuru Mbowe auliwe, weye ungeona powa tu si ndiyo. Basi naomba uelewe kuwa Makonda ni mtu tu ka weye na miye, tofauti ni kuwa, yeye ni kuu wa mkoa mmoja tu na anakaa kwake nami kwangu lakini sote Tanzania. Akipatikana na hatia ya kumdhalilisha mtu, HAKIKA (Kwa herufi kubwaa kuonesha msisitizo) atalipa.
 
Hii Tanzania tunafukuzana wenyewe na msumbiji wakaona watufukuze sasa mbowe anataka makonda amsafishe kama yeye alivyo msafisha lowasa?
 
Wabeja wanajukwaa.

Bila kuwapotezea mda nijikite kwenye mada

Nmesoma kwenye magazeti na mitandao ya kijamii hasa hapa JF yetu pendwa nmeona kwanamna gani kijana mbowe alivyo na nia thabiti ya kwenda mahakamani kudai fidia ya kuchafuliwa jina na mh makonda.

Nikweli kachafuliwa jina tena sana kwakuwa tuhuma zinazomkabili hazijathibitika wala hakukuwa na ushahidi wa kumfanya mh makonda kumtuhumu kwa kujihusisha kwake na madawa ya kulevya lakin napata shida mbowe huyu huyu wa kudai hiyo fidia ya kuchafuliwa jina hadi kwenda mahakaman na kutafuta mawakili kusimamia alipwe fidia kwakuwa kachafuliwa jina....je mbowe huyu kasahau mwaka 2015 juzi juzi tu hapo.

Inamana huyu kamanda anaugonjwa wa kusahau mambo aliyotenda mwaka juzi hadi kufikia kuwaaminisha makamanda wengine kuwa kachafuliwa jina.?
Mbowe umesahau chama chako kilitaja majina 11 ya mafisadi akiwepo mzee uliyemuuzia chadema mwaka huo huo 2015....mbowe inamaan wew umeumia sana kuchafuliwa jina kuliko wale uliowaandika kwenye web site ya chadema kama mafisadi papa...au wew mwenzetu si binadamu kama wale uliowachafua hadi leo hii hawajasafishika kwa tuhuma zako za maji taka.

Mbowe wale uliowachafua wakisema wadai fidia je utaweza kuwalipa angali wew mwenyew unashindwa hata kulipa kodi ya pango.

Kijana mbowe wewe inakuuma sana kuchafuka? Mbona vijana wako bavicha wanachafua watu na hawajawahi fika mahakaman kudai fidia....

Mbowe jitafakari kama upo sahihi ndipo udai fidia zaidi unaonekan mnafiki kwa watu wenye akili lakin villaza watakuja hapa kukutetea kuwa upo sahihi.

Naomba nmalizie kwa kusema [HASHTAG]#haya[/HASHTAG] maajabu yanapatikana tanzania pekee#.

Wenu kisukikali
Kwasasa nipo lumumba dar es salaam
Na wewe ni mmoja wao wale 11?
Maana siyo kwa povu hili.., kiufupi kafungue kesi ya kumdai Mbowe fidia ya kuchafuliwa, nenda kaungane na wenzio wote!
Mumchukue na mwanasheria mkuu wa serikali awe wakili wenu...
 
Wabeja wanajukwaa.

Bila kuwapotezea mda nijikite kwenye mada

Nmesoma kwenye magazeti na mitandao ya kijamii hasa hapa JF yetu pendwa nmeona kwanamna gani kijana mbowe alivyo na nia thabiti ya kwenda mahakamani kudai fidia ya kuchafuliwa jina na mh makonda.

Nikweli kachafuliwa jina tena sana kwakuwa tuhuma zinazomkabili hazijathibitika wala hakukuwa na ushahidi wa kumfanya mh makonda kumtuhumu kwa kujihusisha kwake na madawa ya kulevya lakin napata shida mbowe huyu huyu wa kudai hiyo fidia ya kuchafuliwa jina hadi kwenda mahakaman na kutafuta mawakili kusimamia alipwe fidia kwakuwa kachafuliwa jina....je mbowe huyu kasahau mwaka 2015 juzi juzi tu hapo.

Inamana huyu kamanda anaugonjwa wa kusahau mambo aliyotenda mwaka juzi hadi kufikia kuwaaminisha makamanda wengine kuwa kachafuliwa jina.?
Mbowe umesahau chama chako kilitaja majina 11 ya mafisadi akiwepo mzee uliyemuuzia chadema mwaka huo huo 2015....mbowe inamaan wew umeumia sana kuchafuliwa jina kuliko wale uliowaandika kwenye web site ya chadema kama mafisadi papa...au wew mwenzetu si binadamu kama wale uliowachafua hadi leo hii hawajasafishika kwa tuhuma zako za maji taka.

Mbowe wale uliowachafua wakisema wadai fidia je utaweza kuwalipa angali wew mwenyew unashindwa hata kulipa kodi ya pango.

Kijana mbowe wewe inakuuma sana kuchafuka? Mbona vijana wako bavicha wanachafua watu na hawajawahi fika mahakaman kudai fidia....

Mbowe jitafakari kama upo sahihi ndipo udai fidia zaidi unaonekan mnafiki kwa watu wenye akili lakin villaza watakuja hapa kukutetea kuwa upo sahihi.

Naomba nmalizie kwa kusema [HASHTAG]#haya[/HASHTAG] maajabu yanapatikana tanzania pekee#.

Wenu kisukikali
Kwasasa nipo lumumba dar es salaam
ishu ya madawa ya kulevya ni kubwa sana na implication zake kwenye maisha yake ni kubwa mno kulinganisha na hoja nyepesi uliyoizungumza,
 
Wambie waende Mahakamani au kama vipi Nenda wewe
 
Tanzania,tanzania...................
Kutazama maajabu, biashara nayo makazi
Sitaweza kusahau mimi ulaghai wa kwetu kabisa,
Tanzania,tanzania,ninalia kwa moyo wote.
 
Yaan spid zote ulizokuja nazo na mbwembwe kibao unakuja kutuharishia mboji.. si ungeomba tukuoneshe choo kiko wapi kuliko kuja kuchafua jukwaa na wanajukwaa
 
Waliruhusiwa kwenda mahakamani wao wenyewe wakaogopa, yeye anatumia fursa alioyopewa kisheria,
 
acha kuandika povu hapa wewe,kila mtu anahaki ya kufanya kile anachoona kuwa ni halali kwake,kama aliwataja nani aliwazuie wasiende mahakamani na kama wao walitajwa na hawakuchukua hatua kama walikuwa sio wasafi je?kama mlikuwa mnabipu mbowe anatwanga sasa na kama makonda alikuwa anatafuta kiki imekula kwake,ccm uelewa ni mdogo sana,kwenye mfumo wa democracy hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ila kuna malengo ya kudumu,acheni utoto,mbowe ameuza chama huna ushahidi kwa hiyo na wewe unatakiwa kupandishwa kizimbani
Kama hata hujamwelewa aliposema kauza chama, wewe inabidi ushushwe darasani,
 
Back
Top Bottom