Recent content by Ipililo

  1. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

    Moja kati ya comment ya kimbumbu kabisa. Majoka yamecheka sana yaliko hasa lile mdimu
  2. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Tuache kudharau Watanzania wenzetu

    Bado nonsense zmetawala Taifa la walalamishi
  3. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Tuache kudharau Watanzania wenzetu

    Your talking nonsense bro
  4. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Mpaka kufikia 2020, Lowassa anaweza kua na Wafuasi wengi sana.

    Lowass nDio nani?
  5. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli nikukumbushe kazi tuliyokutuma, maana unayofanya mengi ni Batili!

    Lema ni nabii, magu ni binadamu. Sasa unaposema anapambana na Lema sion connection ya binadam kupambana na nabii
  6. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli nikukumbushe kazi tuliyokutuma, maana unayofanya mengi ni Batili!

    Yote hayo alikuahidi atayatekeleza ndani ya mwaka mmoja? Au miaka yake kumi? Viroba vibaya sana
  7. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba CHADEMA imefilisika kisera?

    Imefirisika mubashara
  8. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Kamanda Diwani Athuman, amepewa majukumu yasiyoendana na weledi wake?

    Mbona majukum yanaendana na qualifications zake. Hasa jukum namba 2 na 7.
  9. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya amshinda Stephen Wassira kwenye Rufaa kesi ya Ubunge

    Hakuna kitu kama hiki. Labda sema ni unabii au umeota
  10. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Umeongea ukweli mkuu
  11. Ipililo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    SAWA NA SHETANI KUOMBA RADHI KWA KUUDANGANYA ULIMWENGU. NEVER WAMESHAZOEA VYA KUNYONGA
  12. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Operesheni UKUTA njia ya kumpeleka Magufuli ICC

    Kwanini tusianze na hao wanaoleteleze kuchafuka kwa image? Solution ni kuwaacha wafanye walitakalo? Upuuzi
  13. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Operesheni UKUTA njia ya kumpeleka Magufuli ICC

    Hakuna mpuuzi yeyote atakaeandamana Labda hao wakina lowasa na mbowe Maana sisi wanachadema wa ngazi za chini hatuoni sababu ya maandamano hayo Kupinga kile ambacho hao hao wakina mbowe walikilalamikia kuwa hakifanyiki kwa miaka mingi Leo kinafanyika hao hao wanakipnga huo ni ulofa na upumbavu
  14. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Siri za wanaorudi CCM toka upinzani zavuja

    Mwandishi wa hii hekaya amejawa na hofu ya wanasiasa kurejea CCM Namshauri tu atulize moyo wake Watu wenye nia ya dhati wasioendeshwa na remote ya mbowe wafanye maamuzi yao wenyewe na usiuaminishe umma ya kwamba wanashawisiwa. Unataka kutuaminisha ya kwamba hata kuondoka CCM WALISHAWISHIWA?
  15. Ipililo

    JamiiForums Tanzania Siri za wanaorudi CCM toka upinzani zavuja

    Eti utawala dharimu wa CCM Unaujua utawaladharimu wewe mshika UKUTA?
Back
Top Bottom