Recent content by iphonex82

  1. iphonex82

    Kwa Mahitaji ya Nyumba za Kupanga Jijini Mbeya

    Raha ya mbeya hyo yaan soon narud zangu tu mbeya dar sasa hv umeharibika kabisa yaan vyumba bei alafu pesa hakuna.
  2. iphonex82

    Nashindwa kufanya manunuzi online.

    Mbona maelezo inaonekana hapo kwenye screenshot yako au Lugha kidogo inakuchacha ndugu? Angalia amount iliyopo kwenye account yako na kiasi unachotaka kulipa pia soma LIMITATIONS yawezekana wameweka kiasi cha mwisho unayoweza kuprocess kwa kila payment system.
  3. iphonex82

    Mkutano wa Watanzania Ughaibuni: Prof. Kabudi awahimiza Diaspora kuja kuwekeza nyumbani

    Kwa Bahati baya nahisi ujawahi ata kutembea nje ya Tanzania ata nchi jirani hapo Kenya, kama ungezunguka walau nchi tatu zinazoendelea kiuchui na kiviwanda ungejua uchangie vipi na pia nakusikitikia kwakuwa unaonekan unaenda kukinga mwisho wa mwezi ungeingia wewe ndio uwawezeshe wengine mwisho...
  4. iphonex82

    Mkutano wa Watanzania Ughaibuni: Prof. Kabudi awahimiza Diaspora kuja kuwekeza nyumbani

    Kwani Tanzania ndio nchi ya kwanza kuwa na uraia pacha? Labda ufahamu uelekezwe kidogo kwa mifano: Let say leo hii umepata chance ya kwenda kusoma either Bachelor, masters or PHD USA lafu unamaliza tu kuna kampuni inakuita kule na wanakupa kazi na wewe ukicheck dau c mchezo labda around...
  5. iphonex82

    Mkutano wa Watanzania Ughaibuni: Prof. Kabudi awahimiza Diaspora kuja kuwekeza nyumbani

    Wewew mbona hzo fursa hujazichangamkia unaezijua au unataka uwaingize wenzako CHOO CHA KIKE? Anza wewe unaezijua ndio waje wengine wewe wa ndani tu unarundikiwa mikodi mpaka unafunga ofisi yenyewe akija hyo wa nje je? Nenda KIBAHA industrial Area ukaone watu walivyokimbia majengo yaan viwanda...
  6. iphonex82

    Mkutano wa Watanzania Ughaibuni: Prof. Kabudi awahimiza Diaspora kuja kuwekeza nyumbani

    Kutoka ndani ya nchi ngumu utasema unaaply JESHI alaf mtu akifanikiw kusepa mnamwambia aje awekeze Nyumbani sasa kama walikuwa wanajua kuwa Kuwezeka nyumbani ni vizur kwanni mnasumbua watu kutoka nje ya nchi? Walahi mimi nikija kwenda huko Duniani cjui kama nchi hii wataniona labda cku nickie...
  7. iphonex82

    Prof Kabudi: WB na ADB wanaripoti uchumi wetu unakua vizuri sasa kwanini IMF waje na ripoti tofauti?

    Watu wanajitoa ufahamu kwa kutetea ugali daah too bad!!! waziri wa mamno ya nje kageuka tena waziri wa uchumi na mipango kazi ipo mbona bado sana cjui imefikia epsode ya ngap.
  8. iphonex82

    Msaada: Leseni ya madini na gharama yake

    Labda tuanzie hapa unafanya shughuli zako sehemu gani? Maana isije ikawa upo ofisini au ndo kwanza upo Mineral au Geology Eng UDOM au UDSM. Maana hayo ndio mambo ya wanaSUA wanakwambia ingia shambani wakati wanajua kabisa kilimo cha bongo mnufaika ni Dalali na mfanya biashara na sio mkulima...
  9. iphonex82

    Msaada: Leseni ya madini na gharama yake

    Bei ya Dhahabu pale Chunya mpaka naondoka mwezi wa 12 ilikuwa 80,000 kwa gram moja ila ukitaka kupiga pesa kama umejizatitit kila sector zama vijiji vya mozambique kule madini kibao ila wenyeji ni washamba washamba sana yaan wamekaa kizezeta sana kuna jamaa yangu aliwapaga meticais (mitikashi...
  10. iphonex82

    Msaada: Leseni ya madini na gharama yake

    Kiongozi nimeenda mpaka SHANTA kule chunya moja ya migod mikubwa sana hapa TZ yaan vitu vinavyofanyika uwez kuamini kafara za ajabu ajabu mno kule Arusha ndio usiseme na GEITA so mambo hayo uwezi ukasema et ni uongo yaan kwa 99.9% ya wanaotoboa kwenye sekta ya Madini na Kilimo Kafara na Ramli...
  11. iphonex82

    Mrejesho wa safari yangu ya South Africa

    Mbongo Nuksi achana nae kabisa wakati mozambique RUBI inatoka kweli kweli kule mtepweshi (montepuez) yaan watu wa kule walikuwa wapole hatar hawana tabia za ajabu ajabu na ata kwenye vijji vyao walikuwa wanalala ata bila kufunga milango walivyoingia tu WAZEE WA KAZI KAZI (MBONGO) wakaanza...
  12. iphonex82

    Mrejesho wa safari yangu ya South Africa

    Bora tu vijana wajilipue yawezekana wakatoboa hko alaf unaumia na uchawi ndio usiseme BONGO sio POA kabisa
  13. iphonex82

    Mrejesho wa safari yangu ya South Africa

    Nmeenda tunduru(mbati kwenye mipunga na mahindi), songea, mbinga, Peramiho, makete, njombe, MBEYA-tukuyu wanakouza mkungu mpaka 1500, songwe, mbarali(kapunga, ubaruku, madibila huko ndiko wanakoongoza kwa kutoa mpunga hapa tanzania), kyela unakosikia kuwa kuna mchele mtamu,Chunya(makongorosi na...
  14. iphonex82

    Mrejesho wa safari yangu ya South Africa

    Sisi ambao tushaweka pesa zetu huko na kuzipoteza tunajua usawa wa magufuli kupoteza 2m huku unaiona nadhani kwa wengine wanaweza wakapagawa. Wakulima wengi wanalima kwa kuwa hawana kazi nyingine ya kufanya kwa mfano shamba la hekari moja la mahindi ili upate mahindi kama wataalam wanavyosema...
  15. iphonex82

    Naombeni msaada wa mawazo jinsi ya kumsaidia ndugu yangu aliyejiingiza kwenye biashara ya rupia

    Kweli kabisa wakati nipo Songea najishughulisha na maswala ya Gemstones kuna eneo la kanisa KATOLIKI lilikuwa linatoa madini vibaya mno na wanasema palipojengwa Seminary Likonde minor seminary ndio kitovu cha madini yote ya ukanda hule coz kuna viashiria vya kengele namna walivyoziSET kwenye...
Back
Top Bottom