Recent content by Ipan

  1. Ipan

    Tamthilia gani itafaa kutengeneza Movie?

    Tamthilia gani utapenda itengenezewe movie? Kuna vitabu vingi ambavyo tumevisoma hapo hawali vyenye story nzuri yenye msisimko na huonekana kama ni kweli yametokea, toa maoni yako......
  2. Ipan

    Tamthilia gani itafaa kutengeneza Movie?

    Tamthilia gani utapenda itengenezewe movie? Kuna vitabu vingi ambavyo tumevisoma hapo hawali vyenye story nzuri yenye msisimko na huonekana kama ni kweli yametokea, toa maoni yako......
  3. Ipan

    Baada ya Kutishiwa Nyau na Wakorea (North), Hatimae Sony Waiachia "The Interview" Mtandaoni!!!

    ....hiyo imeifanya hii movie iwe maarufu hata kabla hijatoka. Naona saa hii wanaitangaza sana na hizo Theatre zitajaa sana kwa sababu huku watu wanapenda sana kuwa wa kwanza kuona movie. ...kuiona nitaiona lakini naipa siku kathaa:blabla::blabla:
  4. Ipan

    Film za Kiswahili

    Ninapenda sana waandishi wetu walioandika vitabu mbalimbali kama: Kufa na Kupona, Je Kisasi, Dimbwi la damu, Tutarudi na roho zetu, Salamu toka Kuzimu na kadhalika. Ninachotaka kuuliza ili munipe ushauri ni kwamba, Hadithi gani ambazo zinaweza kuigizwa na zikatengeneza movie film nzuri? Watu...
  5. Ipan

    Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya

    Ahsante Nanren kwa wazo lako, Nitavifuatilia vitabu hivyo....detective movie I believe can be very interesting licha ya kuwa technology kidogo inaweza kusumbua wakati wa kutengeneza, lakini ndiyo changamoto yenyewe inayoitajika. Inaonekana film za mapenzi na masuala ya uvumilivu wa maisha watu...
  6. Ipan

    Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya

    Ni kweli kabisa kuhusu waandishi wetu wa vitabu vya hadithi. Nina swali moja ambalo ninaomba kama munaweza kuchangia, itanisaidia kujua. Swali: Ni kitabu gani cha hadithi hizi kitafaa kuigizwa kwenye film za video. Naomba ushauri wenu Ipan
  7. Ipan

    Fly-overs zinakuja Dar !!

    Tutabaki tunakula kwa macho tu...ufisadi umezidi
  8. Ipan

    Hivi mnafahamu kwamba ardhi ya Tanzania kwenye kilimo inatumika kwa asilimia 15 tu? Tunakwenda wapi?

    Ni kweli kabisa....mimi niko USA na watanzania wenzangu tulioko huku tumeona jinsi gani wamarekani wenzetu wanavyojari kilimo. Saa hizi mazungumzo mengi na wenzangu huwa tunafikiria ni jinsi gani tuweze kurudi nyumbani na kuingia katika suala la kilimo. Natafuta shamba zaidi ya heka 10 ambalo...
Back
Top Bottom