Mkuu nakushukuru sana kwa elimu yako hii adhimu.
Leo, nina swali naomba kuuliza, Ni hatua gani ninayotakiwa kuchukua pindi nitakapokuwa nimepoteza cheti kile cha hisa whether cha champuni X ili kukirudisha/kupata kingine?
2. Kama nimesahau namba za cheti kile cha hisa ni wapi naweza kuingia...
watoto serious wanaharibika, nakushauri kama umepanga kwenda kuishi IFAKARA usijaribu, hamna serikali kule naamini kwa 90% vitoto darasa la TANO tu vina mambo makubwa hatari,,, ukiomba unapewa
Wapo, mimi nimebahatika kukutana nao baadhi moja nilimuopoa container jipya chuon wakat tulipoenda BASH kuwakalibisha mwaka w kwanz chuon.
Usiombe. Demu wa alikuwa ana kichuguu yan mzur kwanzia nywele,miguu minene, ngozi soft hatar, ana mwanya dah nilipomwona nilikuwa frustrated kabx akili...
Namimi nilituma ndogo ili nione return yake itakuaje coz sijawai fanya mambo hizi za kulink na wakala hata kumjua humjui
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa aloweka namba ya huyu wakala xbet nimemtumia aniwekee hela kweny account hela imeenda alafu nampigia ananikatia simu. Msaada jaman
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
MSAADA JAMANI: Nimejaribu kuweka hela kupitia mwongozo huu naona inafeli kule mwishoni kabs inanambia transaction declined so sijaelewa.
Mjuzi wa hili anipe mwongozo upya pls
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Australian NBL basketball nimeipa mzigo wa kwenda, na iko live now quarter ya pili unapumua vizuri tu naiona hela ya supu.
Ubarikiwe sana sana.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.