Recent content by Invisibletou

  1. Invisibletou

    JamiiForums Tanzania My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    Hahaha kwel hiy nayo point damu bdo inachemka
  2. Invisibletou

    JamiiForums Tanzania My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    Dada analaumu lyf styl ya mzungu mesej itafsiriwe yan kil kitu dada anatak uhuru ndo anachokilalamikia mzungu hatak kumpa uhuru..ndomana anayaona maisha sio matamu
  3. Invisibletou

    JamiiForums Tanzania Mimba yenye utata

    We elew kitu kimoja kila mwez mwanamke lazima awe hedhi asipoiona basi kuna tatizo...usichukulie kutokutoka kwa hedhi kama advantage kwako utajikuta unaandaa nep z mtoto....pole na hongera kwa kuwa baba ......
  4. Invisibletou

    JamiiForums Tanzania Mimba yenye utata

    Yeah baada ya hedh y mwez wa 1 alikutana na mtu ndomana n inategemea ana mzunguk wa siku ngapi normal ni 21-35 days na ujue kuwa hedhi inawez ikawa kuanzia siku 3 mpk saba ila ujue kuwa siku za hedhi zinapokuwa ndogo ndo siku zisizozahatar zinaongezek ila siku z hedhi zikiwa nyingi bas siku z...
  5. Invisibletou

    JamiiForums Tanzania Kutokuaminiana katika mahusiano

    Inaonekan asubuhi humsalimii ndomana anawas was salamu sio mpk simu ata ile hello dr i miss u umeamkaje...inamfanya siku yake inaenda vzr kuliko kula buyu Post sent using JamiiForums mobile app
  6. Invisibletou

    JamiiForums Tanzania Kutokuaminiana katika mahusiano

    Mi nilivyomsoma anataka attention yako...iyo kukupigia simu inatokana mara kwa mara inatokan n jinsi ulivyomzoesha pale mwanzon mapenz yalivyokuw moto moto....hujamwekea mazingira ya kumfanya akuamin....sasa unapokaa kimya sio suluhu maana saivi hujui anawaza nini n huo ukimya wako...anawez...
  7. Invisibletou

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    [#]#008000YES[/[#]
  8. Invisibletou

    JamiiForums Tanzania Anataka kumuacha kisa ufupi

    Nahus yup kweny ule umri wa miak 19-25 mdada huw na katabia kakuchagua bcz anajua bd analipa...mwache achague subir miak30 imkute hana aliyemwaminisha ndo ile slogan ya" ufupi is bothing when it comes to love utakapomuingia"na kutamani muda urudi nyuma!!! Kale kamsemo ka majuto ni mjukuu...
  9. Invisibletou

    JamiiForums Tanzania Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

    Hehehe...u did wat was the best for your calmness...pole kwa yaliyokukuta
Back
Top Bottom