Mkuu, jana mie nilisema polisi wetu wako nyuma sana kwenye mambo ya digital. Yaani hawatofautishi .com, .go.tz , .org etc. Hahahaha. Pathetic police. The force has a full of bunch moron and piece of garbage. Wanajihabisha tu bora wangeuliza wataalamu wanaojua wapi pa kutimia domains hizi kuliko...
Mkuu Mwanakijiji. Mimi sina shaka kabisa kuhusu kinachoendelea na jeshi la polisi. Kwa sababu naamini kabisa jeshi la polisi halina wataalamu wowote wa mambo ya digital. Cryptography technology na cloud computing sidhani kama wana utaaramu huo. Ndo maana unasikia wamechukuwa nyaraka kama leseni...
Tutachangia tu mkuu. Sidhani kama polisi wanajua chochote kuhusu mambo ya high tech. Nikitu kinashangaza kumlazimisha mtu atoe majina ya wateja wake wakati wanalindwa na privacy law. Polisi wetu OMG. ndo shida ya kuchukuwa failures na kuwaingiza kwenye majeshi hahahahaha ngoja nicheke kidogo ili...
Hapa ndo huwa naona jamii ya kiafrika uelewa wetu ni mdogo sana. Ona huyu msanii anayoyaongea lakini utaona watu wanaendelea kumwamini na kutoa pesa zao. Mimi nasema sisi waafrika bado hatujafikia level ya ubinadamu bado ni wanyama ni a bit advanced tu. Hainiingii akilini mtu kama huyu bado...
It is not poor thinking mkuu. Only cursed guys can talk like you. What you are talking is just ridiculous and malarkey, because a person who thinks properly couldn't come up with such nonsense
Siyo kwli Mkuu. Unachokisema siamini kam kina ukweli ndani yake. Hata vyuo vingi vya serikali mfumo ni huohuo. Hakuna cha ukali wala nini. Shida iliyopo ni hizo GPA kutolewa kwa upendeleo. Kuna baadhi ya wahadhiri ubeba mrungula ili wawafaulishe wanafunzi kwa marks nzuri. Haya yanafanyika kwenye...
Ulichokieleza kinaweza kuwa kweli au ni mawazo yako tu unavyodhani. Nami kwa mawazo yangu nadhani Mheshimiwa anawezakuwa na tatizo la malezi. Hii ni principle ya psychology siye principle yangu. Binadamu anapokulia makuzi magumu mara nyingi huwa na tabia kama hizi tunazozizungumzia hapa...
Mkuu kumbe mtu ukishalewa huoni hata kama mwenzio wa mbele yako anaanguka shimoni wewe utajipa matumaini ya kupita tu. Huyu jamaa haoni kilichomkuta Bagbo kwa ushenzi kama huu leo hii anaangaika tu. Jeshi la Gambia analojivunia halina chochote watamuondoa kwa nguvu na atakabiliwa na mashitaka...
Mkuu mimi nilishasema humu siku nyingi kuwa TRA wametengenza loophole ya kuendelea kupiga hela.
Haiwezekani kipengele cha kuonyesha pesa ya serikali (kodi) kisiwepo kwenye risiti. Hapa ndipo mwanya wa maafisa wa kodi wa TRA unapoanzia kupiga deal. Nilienda Xchange bureau kubadilisha vijicent...
Mkuu siyo kwamba wanaukosefu wa elimu. Kuna watu wana PhD lakini wanafanyiwa mambo kama haya. Yaani religion is like an Opium once you take it, believe you will never leave it. Hii ni tatizo kubwa hasa katika jamii yetu ya waafrica. Tunapenda kuiga iga tu hata vitu visivyo kuwa na msingi. Hebu...
Mkuu TUCTA ni wahuni tu. Viongozi wa TUCTA wanajali maslahi yao tu. Mie kuna wakati niliwahi kuongea na Bwana Mgaya kuhusu stahiki za wafanyakazi. Alichonijibu nilichoka, alisema hivi, " Ndugu yangu Katika uongozi usijifanye wewe ndo unawajali watu. So long mambo yako yanaenda usijifanye wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.