Mkuu kwa uzoefu wako tangu umekuwa unafuatilia hii kesi umemkubali Lissu katika lipi hasa ukitumia logic and common sense kwa sababu hakuna serikali iliyokamilika.
Unavyosema hajui athari zake basi turejee katiba ambayo imeweka uhuru kwa kiongozi anayetaka kujiudhuru. Ina maana na katiba haijui athari mpaka ikaweka huo uhuru wa kujiuzuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.