Recent content by inter

  1. I

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Bomu larushwa na kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi

    Vipi Mzee, umemeza takasa mche mzima?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Bomu larushwa na kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi

    Wanaenda kufanya mazoezi tu huko kwenye nchi ya Pemba
  3. I

    JamiiForums Tanzania Haya ndio yaliyotokea usiku wa kuamkia leo Pemba

    Unaonaje wangepitisha sheria ya kutotembea kabisa
  4. I

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

    Hahahaha, nimecheka sana mkuu
  5. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Arusha warudisha kadi

    Vipi iko kibarazani unasubiri mama amalize kupika akuitie msosi?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Arusha warudisha kadi

    Watoto wa kiswahili mtaa wa bondeni. Hawa watoto ni CCM fuata mkumbo from wazazi wao. Huwa wanapewa heka ya vitumbua umemaliza
  7. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Rais Magufuli ni mfano wa viongozi wa Afrika wasio na maono

    Swali gumu hilo
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mwanza yarindima mabomu kwenye kesi ya Wenje

    Lizaboni huyu ana umri gani ktk vijana wako?
  9. I

    JamiiForums Tanzania CUF watoa tamko zito, Taarifa kwa vyombo vya habari

    Hivi ni nani anayewakosesha amani huko nchini Pemba.?
  10. I

    JamiiForums Tanzania CUF watoa tamko zito, Taarifa kwa vyombo vya habari

    Nchi ya TANGANYIKA inapigana vita na nchi ya PEMBA. Nchi ya UNGUJA itakuwa salama kweli?
  11. I

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yaanza kuchunguza jinsi Waziri Lukuvi alivyokataa rushwa ya bilioni 5

    Hivi lukuvi kama alipewa rushwa akaikataa alishindwa nini kuwaita polisi wawakamate? Au ndiyo alitaka takukuru waje kufanya uchunguzi then waende mahakamani kutafuta ushahidi? Mmeishiwa hata ile akili ya kuku
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Ili ujue serikali haina dini ulitaka Magu ateuwe wapagani au aache kuteuwa kabisa? Hebu toa maoni yako
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Eeenhe!! Wakakwambia uvae nini?
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Nyie ndiyo wale mnaokesha vyuoni vya kufundisha ilimu akhera at the same time ukirudi mtaani unasema umetoka shule so unataka kazi. Tofautisha Dini na Professional carrier
Back
Top Bottom