Recent content by Intelligent businessman

  1. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania “Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

    Nashukuru sana kwa upendo huu, japo hali ina change Sana kama usiku huu wa leo. Ime nibidi kukubali kurudishwa hos, nime pigwa sindano za dawa
  2. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania “Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

    Mamba 24 watch your back, Matyako yako haji manara. Kikubwa dua mzee, hali ime change usiku huu
  3. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Intelli fvckin world, I appreciate japo hali ime change kidogo niko hos usiku huu.
  4. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania “Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

    Mara moja moja tuna shake kisha tunarudi, si una mkumbuka master wa world of honor. Hahaha manesi ni watu poa, anyway Weak hero class iko poa
  5. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    I hope so, till then.
  6. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania “Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

    Bado kaka, sema huyo boya ugonjwa ndio ana kaza kuni achia. Anyway hiyo laki kanunue samona kopo kubwa, chenchi kanunue ttcl unlimited data
  7. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Which are the most influential IDs in Jamii Forums?

    I appreciate you bro, watoto wa uswazi wakadai natumia kizizi
  8. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Asante win, I appreciate it a lot, anyway sijui kwanini hatukuwahi ku vibe. Ila nikikaa sawa na kurudi fresh, nita jitahidi tuwe washkaji sawa !
  9. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania “Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

    Kula nyeto mbaga, wasiwasi wa nini akati maisha yenyewe mafupi.
  10. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania “Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

    Intelli fvckin world
  11. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania “Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

    Watoto wa uswazi, wakadai natumia kizizi
  12. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania “Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

    bro nina muda sijui tv au pc ikoje, kwa wiki kadhaa nime angalia series ya ep 8 tu. shop of killers s1, s2 inatoka trh 27 Weak hero class laughing in the wind legend of female general love like the galaxy Who rules the world (,🔥) the double 2024 strange tale of tang dynasty my country - Korea...
  13. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania “Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

    Don't know how to start this shit, but angalau bro (hope umeelewa kule). Kweli june was bad, maana nili dhani ni kwenda hospital na kurudi baada ya siku chache. But naona ni kama tume ingia ubia wa kupeana kampani, siku hizi najua hadi harufu na majina ya ma nurse. shida naona ni dawa na...
  14. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshauri wa masuala ya maisha nitakulipa 20k Baada ya ushauri

    ushauri ni jambo zuri, ila kuchonga njia yako ni jambo zuri zaidi.
Back
Top Bottom