Recent content by Intelligence Justice

  1. Intelligence Justice

    GE2025 Nchimbi kama kajichanganya vile , this goverment will collapse in 3 - 4 years

    Kwanza kwanini hajajiuzulu cheo cha katibu mkuu wa chama ili asi compromise watu kuwashawishi kwa njia ya duress?
  2. Intelligence Justice

    Wamiliki silaha kinyume na sheria kusamehewa

    Wazifuate kwa watu waliotajwa na Mange sio kubweta barabarani kwa sababu mbwa koko hamsumbui mpita njia kuendelea na safari yake
  3. Intelligence Justice

    Tulipofikia kama Taifa

    Kwanini mgombea mwenza wa CCM kwa nafasi ya makamu wa raisi bado anashikilia cheo cha katibu mkuu? Hamuoni kwamba nafasi zao zitawatisha wanaosimamia na kuhamasisha uchaguzi? This general election is messed up all over.
  4. Intelligence Justice

    Msikilize BaBa Aminata, afunguka siri nzito

    Kichwa cha habari kiko tofauti na mzungumzaji
  5. Intelligence Justice

    Polepole na tuhuma za uongo dhidi ya mradi wa JNHPP

    Personal attacks on social issues do not help you cleanse your rottenness
  6. Intelligence Justice

    Maswali mepesi na muhimu kwa Humphrey Polepole kuhusiana na 'kifo' kwa Magufuli

    iInaonesha jinsi ulivyo mshamba wa mambo; jinai inapotekelzwa na kufanikiwa kutendeka (kosa la vitendo) huwa halifi linahojiwa wakati wowote hata kama itachukua miaka kadhaa. Kwa nchi kama Tanzania ambayo haipo tayari kulinda watoa siri wakati wahusika wangali bado hai pamoja na kuwa na sheria...
  7. Intelligence Justice

    Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

    Wana Jamvi chiembe amethibitisha pasipo kushurutishwa ni kwa jinsi gani afya ya JPM walianza kuisababisha idorore na yeye akiwa shuhuda wa uwepo wake eneo la tukio kwa hiyo kinachosemwa na HP ni sawa kumbe walianzia huko Chato miongoni mwa wasaidizi wake ndio waliotumika akiwemo Chiembe. Baada...
  8. Intelligence Justice

    Huenda Bishop Gwajima kafilisika

    Mkuu Huyu anapotezea muda tu wananchi; wakati wa JPM alipiga marufuku kudai malipo kwa jamaa wanaochukua mwili wa mpendwa wao kutoka mochwati, lakini cha ajabu alipoewa tu kiti akanza kutengea kila kitu kilichoagizwa na JPM sasa anajuta. Kampeni anayofanya sasa hivi haina kitu chochote kigeni...
  9. Intelligence Justice

    GE2025 Haya magari waliyopewa Wagombea Urais pamoja na madereva yanakuja na mafuta yake? Au hela ya mafuta inatoka kwenye fundraising?

    1. Magari hayo yamefungwa vifaa vya kuwafuatilia mienendo wagombea na taarifa kurushwa kusiko. Kama wanafikiri wanaweza kuongea chochote ndani ya hizo gari kilicho hasi kama damu haitamtoka puani. 2. Dereva wa mgombea katolewa na tume kwa hiyo kila mgombea anachokifanya kitawafikia tume kama...
  10. Intelligence Justice

    Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

    Anatoa kickback ya kutosha kwa wa wasimamizi wa bwawa la rasirimali za nchi bila kuwadhulumu ndio maana anachokitaka kisera, kisheria, kiuongozi wanamhusudu na kumthamini kuliko mpiga kura hohehahe
  11. Intelligence Justice

    Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

    Huyo kijana ana dharau sana, baada ya mama yake kuondoka jela zinawahusu bila chenga yoyote hta kama watakimbilia NAMO
  12. Intelligence Justice

    GE2025 Mgombea Ubunge CHAUMMA Jimbo la Kinondoni ajinadi kumng'oa Abbas Tarimba wa CCM

    Chaumma sio chama cha siasa ni kikaragosi cha watawala...period.
Back
Top Bottom