Hata sasa makampuni makubwa yanatoa huduma karibu nchi nzima vijij vyote, ila kwa upande wa bando ni gharama sana kununua kutoka kwao, njia rahisi ya kupunguza gharama za mb ni wifi tu unakuwa na uhuru mkubwa wa kutumia internet hata nchi zilizoendelea wanatumia wifi sana kuliko kununua bando...
Inawezekana mkuu wa mkoa kajibu hivyo kwa sababu ya hizohizo siasa, maana unamama mja mzito umefika wakati wa kujifungua zile hekaheka tu ni wazi kila utakachoambiwa na daktari utakitafuta tu, kwa wakati huo huwezi kukumbuka kumpigia simu mkuu wa mkoa.
Suala la ujauzito sio dharula, kwa mjamzito...
Umeongea point muhimu sana ila kutokana na uwezo mdogo wa kufikiria tulionao wengi wetu kulikopelekea hadi kuwa na maisha ya kukaririshwa utaishia kuonekana huna akili, kama baadhi ya wachangiaji humu walivyochangia.
Nyumba zimepelekea watu wengi kuwa maskini bila wao kujua.. hapa simaanishi...
Aliwaona malaika wamening'inizwa kama wananyongwa lakini hawafi, wanapitia mateso makali wanalia kila dakika. Alivyouliza akajibiwa kwamba hawa ni wale wanaompinga Mungu!
Dah kumbe mambo ya utekaji yalianzia huko, kweli hakuna jipya duniani na pengine wana hoja za msingi tu maana hao ndo hukaa...
Hakuna kujitambua kwa mwanamke mbele ya mwanaume mwenye akili timamu, ni jambo la asili, ni mwanamke kwa ajili ya mwanaume na si mwanaume kwa ajili ya mwanamke.
Ni mwanamke kwa ajili ya mwanaume na si mwanaume kwa ajili ya mwanamke, hakuna usawa wala haitakuja kutokea tuwe sawa kimtizamo, kimaono, kifikra hata kihisia.
Shida watanzania huwa hatuna desturi ya kufanya tafiti huwa tunaongea kwa hisia tu.
Huko bank kuna riba kubwa kuliko maboto na bayport! umewahi kukopa au unasimuliwa tu! fanya reseach halafu urudi tena hapa
Mkuu mm sio mjinga kama unavyodhani, nilikopa tsh 17,000,000 NMB, baada ya salary kucheck natakiwa kulipa tsh 25,330,000 sasa hiyo ni %ngapi? hata hizo taasisi tunazoziamini zina riba kubwa tu.
Kuchukua mkopo kwa muda mrefu au mfupi ni kulingana na mahitaji yako maana muda mfupi mkwanja kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.