Hiyo 21 moja safi sana pia. Sio vibaka wakija unaongea kwa sauti kinyooonge "nyie nyie Mungu anawaina" badala ya yake wakutane na muziki wenye uhalisia wakasimulie.
Anavyokufa mbwa ndivyo anakufa binadamu.
Mwili (udongo) hutengana na nafsi(pumzi). Mwili hurudi udongoni ulikotoka na nafsi hurudi kwa aliyeitoa (kwa Mungu).
Ikumbukwe kuwa nafsi ni pumzi ya Mungu tu na bila shaka ni hewa hii hii tuivutayo.
Hii inamaanisha kuwa hakuna makazi ya nafsi huko...
Mbona hakina shida. Labda sisi watumiaji ndo tunakitumia vibaya. Pengine tunakisogeza sana kwenye ninihii au kukisokomeza kabisa. Ikiwa ni hivyo hakiwezi kufanya kazi barabara
Eti ni kweli kuwa kuna watu walio kwenye mahusiano/ndoa ambayo wanaume wanalipia kwa wenza wao tendo la ndoa kati yao? Eti hulipia pesa, mavazi mapya(ahadi ya kununliwa au kupewa cash kwa ajili hiyo), chips nk?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaona unakokwenda si bora kuliko kwako, kwanini uende? Hapa pasingefaa na pakaonekana pengine pa kufaa, hakuna kitu chochote kingezuia watanzania wasiende.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona orodha haikufuata utaratibu wa kawaida wa kuandika namba. Nani amewaambia Tanzania haimo au ni nchi 4 tu za afrika zimo?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.