Hivi ukiwa Rais ni lazima kila unachoshauriwa ufanye ? Unakumbuka Magu aliwahi kuzuia mpango wa kihuni wa ndege kwenda kupigwa rangi ulaya kwa mabilioni ya fedha tena walitaka kwenda kisiri siri jamaa alizipata na akazuia ,, hivyo kwa hili hata viongozi wakubwa wanastahili lkawama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.