Recent content by Inosent

  1. I

    JamiiForums Tanzania computer technician

    jamani kwa wale ambao wanatafuta fundi wa computer nipo unaweza kunipigia 0655684396,nafanya installation ya windows ssp2,ubuntu,ssp3,7,antivirus,maintanance
  2. I

    JamiiForums Tanzania jamani hii tabia mpya

    watanzania tunakoelekea sio kuzuri,juzi niliomba kazi kwenye ampuni ya wa Swedish cha kushangaza nikatumiwa messege na mtu nisie mfahamu tena akataja jina la ile kampuni niliyo omba kazi,akanza kwa kujitambulisha mimi nipo kwenye mkutano tupo kwenye mchakato wa kupitia cv zenu...
  3. I

    JamiiForums Tanzania ajira ajira

    naomba kufahamu kwa wale wliosema waijua maxcom kwa hiyo kazi zao za sales person ndio za kusambaza machine au?
  4. I

    JamiiForums Tanzania kazi zilzotolewa na maxcom

    jamani nime waelewa nataka kufahamu kwa hiyo kazi zao za sales person niku uza machine au?
  5. I

    JamiiForums Tanzania msaada wa kujua jambo kuhusu kampuni zetu

    naomba mnisaidie kuhusu kampuni ya maxcom afrika millenium tower inahusika na nini
  6. I

    JamiiForums Tanzania Walio itwa na maxcom

    naomba mnisaidie hawa watu wanoitwa maxcom afrika millenium tower wanahusika na nini
  7. I

    JamiiForums Tanzania Walio itwa na maxcom

    jamani naomba mnisaidie hivi hii kampuni inayoitwa maxcom millenium tower makumbusho ina husika na nini
  8. I

    JamiiForums Tanzania Pepsi wameshaita short list?

    kaka na watu wa data entry vp
  9. I

    JamiiForums Tanzania eliet career vp majibu

    nafasi ilikuwa sales person
  10. I

    JamiiForums Tanzania haya haya wale waajira vp majibu ya eliet career

    jamani hivi hizi kazi za sales person zipo vp mwenye uzoefu anisaidie
  11. I

    JamiiForums Tanzania majibu ya interview ya eliet career vp

    position ya sales person
  12. I

    JamiiForums Tanzania majibu ya interview ya eliet career vp

    jamani waliofanya interview na eliet career juzi kinondoni vp kuna mtu aliepata majibu
  13. I

    JamiiForums Tanzania Feed back ya interview infinity...

    siwa eliwi naomba mnisaidie
  14. I

    JamiiForums Tanzania Feed back ya interview infinity...

    jamani hizi interview za kiswahili nazo wanatubania mfano kazi za infinity tumefanya na tume kosa je huu ni uungwana au ndio kujuana
  15. I

    JamiiForums Tanzania Feed back ya interview infinity...

    daaaaaaaa najua bado ila kwa upande wa position ilikua ni tigo bima jaribuni kuwa uliza waliopata wamepata nafasi gani?
Back
Top Bottom