EAC ni kenya pekee ndio inauchumi wa juu, nchi kama Rwanda na burundi,uganda,Tanzania sisi pesa zetu zinathamani ukiwa ndani ya nchi yako sio ukienda kwa jirani mf ukienda uganda lazima upewe ile minoti pale mpakani, ukiingia rwanda unapewa ile mi franc ya rwanda, burundi hali kadhalika. Nchi...
Binafsi kwa uelewa wangu mdogo na nnavyofahamu ni kwamba IDF inafanya kazi kwa ukaribu sana na MOSSAD ikishirikiana na akina CIA. Kuna operations nyingi sana MOSSAD imefanya na kufanikiwa kwa asilimia zote. Kuna vita ya ujasusi iliwahi kuwepo baina ya israel na misri pia israel na syria ambapo...
Rwanda inawaneglegate hao M23 kwasababu mwanzo walikuwa waasi na kagame na kagame hawezi kuwarudisha nyumbani ilihali bado anataka mali zaidi kwa wacongo. Hizi nchi zilishakuwa na uhasama tangu na tangu huko nyuma, rwanda haipo powerful kama wengi wanavyodhani rwanda inajitahidi kujihami...
Hapa unatudanganya sana, kagame hawezi kuwa kama putin hapa EAC, kagame ni muasi kama waasi wengine waliojichukulia madaraka kibabe kwasababu walikuwa na dhamana katika jeshi la rwanda pia ukiangalia mfumo wa rwanda ni tofauti na kwetu Tanzania, wakati rwanda inajitafuta kujitawala Tanzania...
Hizo ni propaganda zinatengenezwa za vita ila uhalisia wa mambo ni kwa ukraine kutegemea support kwa marekani na washirika wake ambao mpaka sasa hivi nao wameshaona kabisa wanajiingiza hasara kugawa silaha kwa taifa linalozidiwa kimaaraifa na urussi. NB: Vladimir Putin ni jasusi mbaya sana ktk...
Huna maajabu kabisa hata uwezo wako wa kulinganisha bado ni hafifu kabisa. Kwanza huwezi kuifananisha Arusha na mji wowote apa Tanzania wala afrika mashariki au afrika kwa ujumla, pili arusha ndio lango kuu la wazungu wengi kupitia Kilimanjaro wapo wazungu walioishi miaka mingi ya nyuma na leo...
Ndio ni kweli unachokiongea kuhusu nchi ya Rwanda. Mimi nimewahi kufika kigali jamani ni ka nchi kadogo sana pili inamilima mingi, usije ukajaribu kugombana na mtu au kuongelea Rwanda vibaya ukiwa ndani ya mipaka yao utapotea huyo Kagame anachukuliwa kama mtukufu ndani ya ile nchi, hawana price...
Wewe kijana unaesema unanipenda nchi yako, hebu acha taarabu halafu uje na facts ambazo zinaweza kumtetea huyo mwanamke ili asifiwe na kuunga mkono juhudi zake! Katika uongozi mbovu na duni ni huu wa huyu mwanamke hakuna kitu kafanya zaidi ya kulipa taifa hasara maji hakuna,umeme wa shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.