Kwa wale mnaotaka kutembelea Rwanda muwe makini na vitabia vyenu mnaweza kuonja jela

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Rwanda ni pazuri na kuna totozi za maana kama unamke basi unaweza kuongeza mwengine walivo wazuri.

Rwanda bwana ukiwa na tabia za ajabu umetoka nazo kwetu utajikuta jela usipo kuwa makini.

Rwanda ina askari wengi wanaochunguza raia sana yani wewe nenda huko kamzungumize Kagame kama tunavojimwaga hapa ndio utajua kama umetumwa.

Mambo kama kutupa uchafu ovyo ndugu utapotea.

Ukienda ufanye kilichokupeleka na usipende kupita pita kila duka ukilinganisha bei .

Nilichowapendea wanamkubali sana Simba aka domo na marehemu Kanumba.

Wale jamaa wanaogopa ofa labda kama unajuana naye. sisi mnakutana baa na kuanza mpe huyu mruke yule.

Bia zao ni kubwa yani mnaweza kunywa watu watatu
IMG_0468.jpg
 
Rwanda ni pazuri na kuna totozi za maana kama unamke basi unaweza kuongeza mwengine walivo wazuri.

Rwanda bwana ukiwa na tabia za ajabu umetoka nazo kwetu utajikuta jela usipo kuwa makini.

Rwanda ina askari wengi wanaochunguza raia sana yani wenenda huko kamzungumize kagame kama tunavojimwaga hapa ndo utajua kama umetumwa.

Mambo kama kutupa uchafu ovyo ndugu utapotea.

ukienda ufanye kilichokupeleka na usipende kupita pita kila duka ukilinganisha bei .

Nilichowapendea wanamkubali sana Simba aka domo na marehemu kanumba.

View attachment 2458898
Heri kwenda Korea ya Kaskazini kwa Bwana Kiduku kuliko Rwanda yako. Nani anataka kufuatwa fuatwa! Utawala wote imla na woga hizo ndizo sifa zake. Kama wanawake wazuri mbona hapa nyumbani wengi tu au una lako?
 
Rwanda ni pazuri na kuna totozi za maana kama unamke basi unaweza kuongeza mwengine walivo wazuri.

Rwanda bwana ukiwa na tabia za ajabu umetoka nazo kwetu utajikuta jela usipo kuwa makini.

Rwanda ina askari wengi wanaochunguza raia sana yani wenenda huko kamzungumize kagame kama tunavojimwaga hapa ndo utajua kama umetumwa.

Mambo kama kutupa uchafu ovyo ndugu utapotea.

ukienda ufanye kilichokupeleka na usipende kupita pita kila duka ukilinganisha bei .

Nilichowapendea wanamkubali sana Simba aka domo na marehemu kanumba.

Wale jamaa wanaogopa ofa labda kama unajuana naye. sisi mnakutana baa na kuanza mpe huyu mruke yule.

Bia zao ni kubwa yani mnaweza kunywa watu watatu
View attachment 2458898
Akabanga pepper nazikubali sana
 
Kigali inavyozungumzwa sana utadhani bonge la jiji kumbe ukitoka kidogo tuu ni milima na vumbi na papuchi za bei rahisi za kumwaga wote wanataka kuja Daslm wanaiona ndio New York yao wakifika huku wanasahau kuwa walikua wanaiwaza Dar es salam...
 
Rwanda ni pazuri na kuna totozi za maana kama unamke basi unaweza kuongeza mwengine walivo wazuri.

Rwanda bwana ukiwa na tabia za ajabu umetoka nazo kwetu utajikuta jela usipo kuwa makini.

Rwanda ina askari wengi wanaochunguza raia sana yani wenenda huko kamzungumize kagame kama tunavojimwaga hapa ndo utajua kama umetumwa.

Mambo kama kutupa uchafu ovyo ndugu utapotea.

ukienda ufanye kilichokupeleka na usipende kupita pita kila duka ukilinganisha bei .

Nilichowapendea wanamkubali sana Simba aka domo na marehemu kanumba.

Wale jamaa wanaogopa ofa labda kama unajuana naye. sisi mnakutana baa na kuanza mpe huyu mruke yule.

Bia zao ni kubwa yani mnaweza kunywa watu watatu
View attachment 2458898
Ndio ni kweli unachokiongea kuhusu nchi ya Rwanda. Mimi nimewahi kufika kigali jamani ni ka nchi kadogo sana pili inamilima mingi, usije ukajaribu kugombana na mtu au kuongelea Rwanda vibaya ukiwa ndani ya mipaka yao utapotea huyo Kagame anachukuliwa kama mtukufu ndani ya ile nchi, hawana price negotiations ukitaka kununua bidhaa kwao pia mgeni anafatiliwa sana ukiingia ndani ya Rwanda mpaka unatoka na kuna kashfa kuwa walikuwa wanadukua simu za watalii wanapoingia ktk nchi yao so Rwanda sio nchi nzurri sana kuitembelea
 
Ndio ni kweli unachokiongea kuhusu nchi ya rwanda. Mm nimewahi kufika kigali jamani ni ka nchi kadogo sana pili inamilima mingi, usije ukajaribu kugombana na mtu au kuongelea rwanda vibaya ukiwa ndani ya mipaka yao utapotea huyo kagame anachukuliwa kama mtukufu ndani ya ile nchi, hawana price negotiations ukitaka kununua bidhaa kwao pia mgeni anafatiliwa sana ukiingia ndani ya rwanda mpaka unatoka na kuna kashfa kuwa walikuwa wanadukua simu za watalii wanapoingia ktk nchi yao so rwanda sio nchi nzurri sana kuitembelea
Ni ka nchi kakidictator sana.pia wana kitengo kizuri sana cha propaganda.kimewaaminisha baadhi ya watanzania kuwa wao Rwanda ni bora sana kuliko sisi watanzania.
 
Rwanda ni pazuri na kuna totozi za maana kama unamke basi unaweza kuongeza mwengine walivo wazuri.

Rwanda bwana ukiwa na tabia za ajabu umetoka nazo kwetu utajikuta jela usipo kuwa makini.

Rwanda ina askari wengi wanaochunguza raia sana yani wenenda huko kamzungumize kagame kama tunavojimwaga hapa ndo utajua kama umetumwa.

Mambo kama kutupa uchafu ovyo ndugu utapotea.

ukienda ufanye kilichokupeleka na usipende kupita pita kila duka ukilinganisha bei .

Nilichowapendea wanamkubali sana Simba aka domo na marehemu kanumba.

Wale jamaa wanaogopa ofa labda kama unajuana naye. sisi mnakutana baa na kuanza mpe huyu mruke yule.

Bia zao ni kubwa yani mnaweza kunywa watu watatu
View attachment 2458898
Picha ya bia iko wapi?
 
Nilienda Rwanda Mwaka huu April tukawa Bar tunapiga story za mwendazake.

Katikati nikajisau nikataja Kagame.. Ebwana ndani ya dakika moja nilikjikuta peke yangu Zile njemba Kama nane zilitoweka kimyakimya ..,
 
Ulimsemaje Kagame hadi wakukimbie?
 
Nilienda Rwanda Mwaka huu April tukawa Bar tunapiga story za mwendazake.

Katikati nikajisau nikataja Kagame.. Ebwana ndani ya dakika moja nilikjikuta peke yangu Zile njemba Kama nane zilitoweka kimyakimya ..,
hukudakwa na mapilato wa huko?
 
Wanawake bongo ni wazuri jaman tuache utani.Sema nyie kinawachanganya hivyo visura vyembamba ila wala hakuna cha zaid
 
Back
Top Bottom