Recent content by INKOS

  1. INKOS

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

    Nenda Google uangalie wind and solar power installation in india, ndo utajua kuwa tulikuwa na alternative nyingi sana Tanzania swala hapa ni maslahi ya wachache, sisi hatuna pesa ya ndani ya kujenga mradi mkubwa kama stiggler's gorge. Tuna compromise mazingira kwa kukopa mikopo isiyolipika. Sasa...
  2. INKOS

    JamiiForums Tanzania Sheria ya bima ina upendeleo; Ukiwa huna bima ni kosa lakini ukidhulumiwa kulipwa na watoa bima wanakutelekeza

    Pole mteja wa Bima, sheria zipo tatizo ni wahusika hatujatoa elimu ya kutosha au wengi hatusomi machapisho mbalimbali, karibu B&B INSURANCE BROKERS LTD, tupo mtaa wa Lindi jengo la SUWATA zilipo ofisi ndogo za UWT makao makuu mkabala na kituo cha mwendo kasi cha Gerezani, piga simu namba...
  3. INKOS

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu "kugongwa" kwa Dreamliner ya ATCL,ushindani wa kibiashara na siasa za kutakiana mabaya

    Yajayo yanafurahisha Sent using Jamii Forums mobile app
  4. INKOS

    JamiiForums Tanzania Afisa maliasili aliyetukamata baada ya kugonga kanga amefariki leo

    Ina maana dua la kuku limempata mwewe? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. INKOS

    JamiiForums Tanzania Nape kutangaza na kuzuia Kwa nguvu zote Bunge kuwa Live, Je Bunge lipo kwenye Wizara anayoiongoza?

    Wanasiasa wa nchi hii wanachekesha, hata ma-Dr na mapprofessor wakihamia kwenye siasa taaluma zao hupotea ghafla, hivi hadi sasa tunaweza kuamini usitishwaji wa live coverage ya bunge ni Sababu za kifedha? Kuna private TVs walitaka kurusha kwa gharama zao bado wakazuiwa halafu tunaendelea...
  6. INKOS

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli si mkwapuaji bali Mtekelezaji

    Rais wetu ni mchapa kazi, sina hakika kama anatekeleza sera za CCM au anatekeleza zile mbadala, hoja za mleta mada siyo analytical, hasa kwa swala la BOT yawezekanaje mtu mmoja akaidhinisha ujenzi wa majengo pacha akiwa peke yake? Huwezi kuwa fisadi kama huna mamlaka na access ya kupata pesa za...
  7. INKOS

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Magufuli kwa kuua vyama vya siasa na CCM ya Lowassa

    Nadhani Mungu hakukosea alivyoumba wanadamu kwa sura tofauti, akili tofauti na maumbo tofauti. Swala moja laweza kuwa na tafsiri tofauti pia, wabunge wa upinzani walipinga kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya mijadala ya Bunge, tena Bunge lenyewe likidai halina pesa ya kugharamia matangazo hayo...
  8. INKOS

    JamiiForums Tanzania PICHA: Kurasini Road Intersection (Flyover) kuelekea Mwl. Nyerere Bridge, Kigamboni

    VICHWA VYA HABARI MIAKA KUMI IJAYO NA KUENDELEA ... TBC HABARI 2025: Ndugu Edward Lowassa aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka chama pinzani na kuwa rais mwenye umri mkubwa zaidi ya marais wote wa Afrika. GAZETI LA MWANASPOTI...
  9. INKOS

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lugumi: Gazeti la Nipashe latakiwa kuliomba Bunge radhi kwa upotoshaji

    HI MEMBERS “POWER CORRUPTS, AND MONEY CORRUPTS MOST BUT POWER AND MONEY CORRUPTS ABSOLUTELY”
  10. INKOS

    JamiiForums Tanzania Jesca Kishoa, asimamishwa Vikao viwili vya Bunge

    Huyo mwenyekiti wa Bunge anafukuza wabunge badala ya kuitaka serikali kuleta Bungeni mkataba wa manunuzi ya mabehewa na riport ya CAG? Hivi chenge anaweza kukemea mafisadi? Post za wana JF humu ndani kuna ushabiki sana wa kisiasa badala ya facts. Je anayoyafanya JPM yangefanywa na uongozi wa...
  11. INKOS

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Hivi kweli twaweza na star TV wana uwezo wa kuandaa mdahalo ukaonyesha impartiality? Mbona hivyo vyote ni mawakala wa CCM!! Kama Kuna ulazima wa mdahalo inabidi uendeshwe kwa lugha ya biashara(English)maana Rais wa nchi ni international figure, mbali na kutoaminika kwa vyombo vilivyoandaa...
Back
Top Bottom