UKWELI KUHUSU AUDIO INAYOSEMEKANA KUWA NI YA KINANA NA NAPE HUU HAPA
Nimesikiliza audio zote mbili zinazoendelea kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii zinazodaiwa kuwa ni za mazungumzo kati ya Nape na Kinana, kupitia audio hizo yapo mambo ambayo yanatia shaka kama kweli yametoka kwa wahusika...
Kama tatizo ni mwalimu wa hiyo kwaya basi sio busara kuiingiza kwaya nzima kwenye kashfa, unapofanya hivyo unakuwa unawachafua hata wale wasiohusika, ni sawa na wewe uwepo kwenye kampuni ambayo mlinzi wa geti ni mlevi, huwezi kusema kampuni nzima ni walevi, yawezekana ndani ya hiyo kwaya kuna...
Mimi naona wewe ni mhanga wa tukio, maana inaonekana aidha huwa unakuwemo ndani ya hiyo noah, au huko ndani ya studio,vinginevyo mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali juu yako. Yaani unawezaje kujua kinachoendelea ndani ya Noah, au ndani ya studio ambako hakuna hata madirisha? Kama hasira...
Nimefanya mawasiliano na meneja wa hiyo kwaya na nimeweza kujifunza mambo yafuatayo:
1. Kwamba sio busara wala hekima kulichukua jambo lako binafsi na kulifanya kama jambo la jumla. Kwasababu kwaya unayoisema ni taasisi, kama una tatizo na mtu kwenye taasisi husika usilifanye tatizo hilo kuwa la...
Ujumbe wako uko kwa ujumla sana, ungetaja hilo jina la kwaya na huyo mhusika ungeeleweka zaidi,vinginevyo utaonekana unapiga majungu tu, go straight kama kweli umeamua kuja huku, konakona waachie wapiga majungu
Anaandika frey Cosseny
"Nimesoma kwa masitiko Makubwa machapisho ya Mbunge wa kigoma Mjini na kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Mh Zitto Zuberi Kabwe aliyoyatoa katka kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa machapisho hayo Zitto Kabwe ameutangazia Umma wa Watanzania kuwa Mh...
"Nimesoma kwa masitiko Makubwa machapisho ya Mbunge wa kigoma Mjini na kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Mh Zitto Zuberi Kabwe aliyoyatoa katka kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa machapisho hayo Zitto Kabwe ameutangazia Umma wa Watanzania kuwa Mh: Rais wetu na Mwenyekiti...
Habari wanajamvi
Itakumbukwa kuwa tarehe 13.04.2015 kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, kampuni ya Tanzania Awards International Limited iliweka historia ya kutoa tuzo inayojulikana kama Tuzo ya Jamii
Tuzo hizo ambazo mgeni rasmi alikuwa ni rais mstaafu Jakaya Kikwete...
Watu walianza kumwamini Mtanzania mwenzao.Anachofanya sio ujanja, atapatikana soon maana hizo hela zinazoingia kwenye akaunti yake ya Tigo Pesa zinaweza kuwa blocked vile vile na asizipate vinginevyo Tigo wawe wanashirikiana nae.
Kweli watanzania sio wa kuwaamini aisee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.