Utafiti wa Tuzo ya Jamii 2015

Inkognito

Member
Feb 13, 2011
86
108
Habari wanajamvi
Itakumbukwa kuwa tarehe 13.04.2015 kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, kampuni ya Tanzania Awards International Limited iliweka historia ya kutoa tuzo inayojulikana kama Tuzo ya Jamii


Tuzo hizo ambazo mgeni rasmi alikuwa ni rais mstaafu Jakaya Kikwete zilitolewa kwa hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Nelson Mandela.

Katika tuzo hizo, Proffessor Sospeter Muhongo alipewa Tuzo ya Mwanasiasa mwenye Mafanikio katika siasa ya Tanzania huku January makamba akipewa Tuzo ya Mwanasiasa Kijana mwenye mafanikio katika siasa ya tanzania

Je, kurudi kwa Mheshimiwa Proffessor Sospeter Mwijaribu Muhongo pamoja na January makamba kwenye Awamu hii Tano ya Uongozi wa Rais John Pombe Magufuli kunatoa majibu gani kwa Taasisi hiyo ya Utafiti?
 
Back
Top Bottom