Kwenda kinyume na ukweli ulioufahamu kumuhusu Roho MTAKATIFU na utendaji kazi zake kwa mfano..Wewe ni mtumishi wa Mungu mchungaji au Mwinjilisti Roho MTAKATIFU akakupatia karama ya uponyaji, na ukafanya Huduma hiyo kwa muda na ukaona ishara na miujiza watu wakifunguliwa kupitia karama hiyo...
HUDUMA YA YESU ILIKUWA IKIBEBWA NA WATU WAKUBWA SAAANA KUTOKA KWENYE SERIKALI YA KIRUMI WATU HAO WALIKUWA WAKIMFUATA YESU KWA SIRI MNO NA WENGINE WALIKUWA NI MAAFISA SERIKALINI LAKINI NI WANAFUNZI WA YESU KWA SIRI
WAWEZA KUPITIA MAANDIKO HAPA CHINI 👇🏾👇🏾👇🏾
Luk 8 (SUV)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
² na...
POLE KWA HILO UNALOPITIA..NYOKA KWA TAFSIRI YA KIROHO NI JINI AU PEPO LINAKUJA KWA NAMNA AU UMBO LA NYOKA..NA JINI LIKIJA KWA NAMNA HIYO HUWA NI ISHARA YA HATARI KWAKO..
YAPO MAMBO YA KUFANYA..USHAURI
NENDA SEHEMU YEYOTE KWENYE HUDUMA YA MAOMBI UFANYIWE MAOMBEZI UFUNGULIWE. NINA AMINI YESU...
Kwanza nikurekebishe kidogo wewe mwandishi binafsi unaonekana sio Mwalimu..kwasababu Kwa elimu ya msingi kipindi hiki cha mitihani wapo likizo, na jambo lingine wanafunzi wengine wasio wa darasa la mitihani hawaruhusiwi kufika shule..sasa Mwalimu umepataje fursa ya kutoa zoezi kipindi cha mitihani
Hili tatizo wengi tuliojiunga na watumishi portal tatizo hilo lipo..ingia kwenye website ya mof kuna namba wapigie siku za kazi, hakikisha unapopiga una check number ili wakusajili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.