Recent content by Infopaedia

  1. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna data recovery centre?

    Mnapatikana wapi?
  2. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Mimi nimenyoosha kwenye hoja yako ya KAMLETE. Na nimejaribu kukupa mifano inayo-suggest swala la ukabila kwa wachaga ni imani, chuki na ujinga ambao watu wenye akili ndogo wameaminishwa. Kwa faida yako: Kinachoendelea kwa wachagga hivi sasa. Kwa wachagga, Ukiwa nje ya Kilimanjaro wewe ni...
  3. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Hapana, siyo kweli. Mwaka fulani niliangalia mtandaoni majina ya walioitwa kwenye usaili wa kazi TRA, mengi yalikuwa ni majina ya kaskazini, kwa maana ya wachaga. Na hayo ni majina yaliyopita baada ya mchujo. Inamaana kuna wengine wengi tu wamepigwa chini. Kwa hesabu za kawaida, hiyo inaleta...
  4. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania Bosi TRA anavyoitafuna nchi

    Kwa mantiki hiyo, Mtanzania anakuwa hana tofauti na wanyama au hayawani wa porini. Pona ya digidigi ni kushiba kwa Simba. Na watoto wa Chui wanaweza uwa mtoto wa swala kwa kujifunzia kuwinda. Tumia muda kidogo tu kuangalia Tv channel za wanyama na uone maisha ya mwituni. Ndivyo unavyotaka...
  5. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania PICHA: Siamini ninachokiona, nimacho yangu au...

    Lengo la kufuga paka ni kukamata panya. Kama anakamata panya, hayo mengine yanakubalika. Impact ya Jf kwa jamii ikoje?
  6. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma?

    Madhara ya kujaza sana au kujaza kidogo ni hayo hapo juu. Uishaji wa matairi. Upepo wa tairi za nyuma hutofautishwa na upepo wa tairi za mbele kwasababu, inategemewa uzito wa mbele na uzito wa nyuma ni tofauti. Ila kama uzito sawa, hakuna tofauti ya ujazo. Angalia tairi zako zinavyoisha ndo...
  7. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania NMB/VODA mnatuibia

    Sina uhakika kama nimekuelewa vizuri. Ila nimeelewa kwamba kwa mtazamo wako, kumiliki simu fulani pia kunaendana na uwezo wa kiuchumi wa muhusika. Kama ni hivyo, dah!! pole sana. Nachelea kusema ni dhana potofu sana. Wengine hizi simu ni mtindo wa maisha tu. Hazina uhusiano na uchumi. Mtu...
  8. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania NMB/VODA mnatuibia

    Laptop. Au naweza kuweka hiyo apk kwenye hii laptop?
  9. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania NMB/VODA mnatuibia

    Sisi wengine tochi zetu ndio zina simu. Tofauti na nyie ambao simu zenu ndio zina tochi.
  10. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania NMB/VODA mnatuibia

    Hapa ndipo wizi unapoanzia.
  11. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania NMB/VODA mnatuibia

    Siyo wote wenye simu janja.
  12. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania NMB/VODA mnatuibia

    NMB/VODA huu wizi mtaacha lini?. Napiga *150*66# ili nipate huduma ya bank mkononi. Naambiwa huduma hii kwa sasa haipatikani, lakini nakuta kiasi cha Tsh 50 mmekata kwenye simu yangu wakati sijapata huduma. Narudia tena *150*66#. Nafika hatua ya nne kuelekea huduma ninayohitaji, naambiwa...
  13. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB/VODA huu wizi mtaacha lini?. Napiga *150*66# ili nipate huduma ya bank mkononi. Naambiwa huduma hii kwa sasa haipatikani, lakini nakuta kiasi cha Tsh 50 mmekata kwenye simu yangu wakati sijapata huduma. Narudia tena *150*66#. Nafika hatua ya nne kuelekea huduma ninayohitaji, naambiwa 'huduma...
  14. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mambo ya ajabu niliyowahi kuona na kushuhudia kwa macho yangu, sitoyasahau katika maisha yangu

    Hivi kwanini ukiwa na hela huonagi mambo ya ajabu!!!. Au basi....sababu hili nalo ni jambo la ajabu.
Back
Top Bottom