Hapana, mfano wako sijauelewa, kuondoa govi haliwezi kuota tena kama nywele au kucha, govi ni sehemu ambayo ukiiondoa umekosoa uumbaji maana kamwe haitarudi
Unaposikia usalama wa Taifa, jiulize kwanza chuo Chao kipo wapi?, ni aina gani ya watu huchukuliwa kwenye usalama wa Taifa?, kwa maswali hayo machache, naomba ujue kuwa Rais ni taasisi kubwa sana na ulinzi wa Rais kwa sasa hufanyika kwa mifumo ya kiteknolojia(Matumizi makubwa ya TEHAMA)
Walinzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.