Recent content by infantrier

  1. infantrier

    Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

    Miaka ile wakati tupo shule ya msingi,tulisoma kwamba Shaba ya Zambia husafirishwa Nchi za nje kupitia bandari za Beira, Lobito na Dar Es Salaam. Swali je hizo bandari za Beira na Lobito hazipo tena? Kwa taarifa yako sasa zimeongezeka nyingine kama Durban,Walvis Bay na nyingine. kazi kwako...
  2. infantrier

    Halima Mdee punguza ulaghai, unadanganyaje umma kuwa akaunti za benki za wabunge waliofungwa zilikuwa na kiwango chini ya Tsh. Milioni 1?

    Mkuu ,tuwekee hapa hayo maneno yaliyowalazimisha nyinyi walala hoi muwachangie. Leta ushahidi wa ulazima huo.
  3. infantrier

    Harambee ya USD 1000 - 2000 kwa Watanzania tunaoishi nje kuikopa nchi yetu kwa riba nafuu

    Rudia tena vihesabu vyako hapo, Mfano watu 100,000 zidisha mara $1000 kwa kila mmoja. Unapata 100,000,000
  4. infantrier

    Harambee ya USD 1000 - 2000 kwa Watanzania tunaoishi nje kuikopa nchi yetu kwa riba nafuu

    Ole hivi mnataka kuikopa au kikopesha serikali? Kichwa cha habari hakipo sawa nadhani.
  5. infantrier

    Elia Michael: Kuhusu mimi kushiriki ziara ya Halmashauri Kuu ya CCM taifa Mwanza

    Uzi unaelea hewani. Ni kweli kabisa kuna watu walikwenda shule kusomea ujinga.
  6. infantrier

    Usafi wa Japani

    Nilikua mbioni Kuuliza pia
  7. infantrier

    Balozi Possi awasilisha hati za utambulisho kwa Papa Francis, Vatican

    Possi kapelekwa Berlin! Vipi Ngemera kastaafu au karudishwa Wizarani?
  8. infantrier

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Ulanga Express, Dar -Mahenge/Malinyi.
  9. infantrier

    Vyakula nitavyokula leo Pasaka

    Yaani vimeng'enyo vitakua vinashangaa vimeletewa malighafi gani! Vitashindwa kumeng'enya vizuri.
  10. infantrier

    This is the most disrespectful thing the Mount Kilimanjaro Marathon have written in their website

    Look at post 6& 7, there is a link over there. Go through.
  11. infantrier

    Tido Mhando na Ubinafsishaji wa TBC kwa StarTimes

    Hivi shauri la Melo na Mike limefikia wapi? Sijui JF ifungwe! Maana ni hazina kubwa sana hii , inawekana ikaishinda maktaba kuu.
  12. infantrier

    Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Hii kesi mpaka sasa ipo kwenye mahakama ya haki za binadam Afrika,jamaa walikata rufani huko. Sasa watu wamemtonya, mhusika wa kale kwamba amshtue jamaa awatoe kwa msamaha. Sababu kule ilipo hawana figisu wataangalia kila hatua za kesi ilivyo kuanzia mwanzo bila upendeleo.
  13. infantrier

    Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Huo msitari kutoka katika kitabu cha Illuminati ? Biblia ya kawaida haikuandikwa hiyo.
Back
Top Bottom