Waziri wa Afya atawasilisha walichobaini kwenye maabara ya Taifa na hali corona Tanzania

Ni jumatatu tarehe 18 May waziri ummy Mwalimu ataongea na vyombo vya habari kuhusu kamati iliyoundwa kuchunguza maabara ya Taifa na ataongelea pia hali ya covid 19

Stay turned



Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu taarifa ni muhimu hata kama za KUBUMBA katika kipindi hiki wakikaa kimya inazidi kuchanganya wananchi.
 
Kubaini nini?

Tumeshajua kuwa korona ilishagonga hodi hadi ikulu. Mzee hakuamini matokea sababu ya tabia ya ubishi na kujimwambafai. Akatuma vipimo tena. Bado mwanae majibu yanakuja positive.

Ikabidi apime mapapai, mbuzi, kwale vilivyopo pale nyumbani kwake. Na baadhi vikawa positive. Sasa uyo mwanaye kamaa alikuwa anashika shika ao mbuzi, kwale na mapapai basi nayo aliyaambukizwa. Na kama mwanaye kweli anamaambukizi lazima watumishi wengine wanamaambikizi pia. Na ukute ao watumishi ndyo walikamata ao wanyama kuchukua sample.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nategemea atasimamia ukweli lakini kwa nini asingeacha mwenyekiti wa kamati aeleze kwa kuwa ndo proffesional yake maana waziri si mtalamu bali mwanaiasa?
 
Nategemea atasimamia ukweli lakini kwa nini asingeacha mwenyekiti wa kamati aeleze kwa kuwa ndo proffesional yake maana waziri si mtalamu bali mwanaiasa?
Kamati iliwekwa chini yake na aliwaambia baada ya uchunguzi wawasilishe ripoti kwake au hukusoma ile taarifa?
 
Back
Top Bottom