Recent content by inembe

  1. inembe

    Bashe awataka wabunge kutopitisha bajeti ya Wizara ya Kilimo

    ukweli wabunge wakiwa bugeni usahau kile walichokisoma shuleni kuwa bunge kazi yake ni kuisimamia serikali na wako pale kwa niaba yetu sisi wananchi. Kazi hii huwa hawaifanyi na kuishia kuisifia serikali wakijua kuwa hatuna cha kuwafanya pindi wasipotimiza wajibu wao huo wa kikatiba. Kuwa...
  2. inembe

    Bashe awataka wabunge kutopitisha bajeti ya Wizara ya Kilimo

    tungekuwa na wabunge wote kama huyu hakika tungefika mbali na serikali kwamwe isingifanya vitu kwa mazoea
  3. inembe

    BUNGENI, DODOMA: Spika Ndugai ameitaka Serikali kutoa taarifa ya kinachoendelea kuhusu mafuta ya kula, leo saa 11 jioni

    waache kutoka majibu mapesi kwa maswali magumu na mazito, sawa spika usiachie kamba hadi kieleweke
  4. inembe

    Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    akapimwe kizazi kama kimetolewa, huyu ana hatari sana ikiwa anacho kesi inaishia hapo
  5. inembe

    Zitto Kabwe: Tundu Lissu asema ''sikati tamaa na watanzania''

    Mungu akupe wepesi kamanda Lisu. nyie bunge na serikali msisahau Mungu yuko kazini na haki ya mtu daima aipotei.
  6. inembe

    Kosa la kiufundi walilofanya CCM ni kumrudisha Mtulia Kinondoni

    ccm walizani wamalamba dume kumbe..........., hapa wajilaumu wao kwa kutaka kufanya wana Kinondoni mazezeta
  7. inembe

    Mgombea wa Chadema Kinondoni Salim Mwalim si mpiga kura Jimbo la Kinondoni

    msaliti wa pesa za wa tanzania hawezi kusamehewa, ccm mlizania ni wakati wa kuokota tena kama singida, subili dawa inachemka, msaliti ni msaliti tu dhambi hii aifi
  8. inembe

    Rubani Mlevi Afukuzwa Kwenye Ndege Nchini Uingereza

    z y bh m z t x e H t d xx
  9. inembe

    Chagua Salum Mwalimu kwa Maendeleo ya wanahabari Tanzania

    Huu ndo wakati wa kuwafundisha adabu wauni wote wanaofikilia kuendelea kuchezea pesa zetu kwa mambo ya kijinga kabisa, huku hatuna maji zaidi ya yule ya chumvi, barabara vumbi tu, alafu jitu linafikilia kuhama chama alafu lichaguliwe tena. Watanzania tuamke na tukatae kuchezea pesa zetu...
  10. inembe

    Manispaa ya Bukoba imeongoza tena kwa mara nyingine katika matokeo ya kidato cha pili 2017

    wewe unafananisha watu wa bukoba na watu gani?. nenda ukaone wanavyoishi, geti kubwa kubwa, watoto wako mashule, sasa wewe unataka maendeleo gani?
Back
Top Bottom