Recent content by incredible mimi

  1. incredible mimi

    Biashara ndogo zenye faida kubwa Dar Es Salaam: Jinsi ya kuanza, Kuimudu na kufika mbali – From Streets to Success

    Kinge Kingereza kikiwa kingi wadau wanaingiwa wasiwasi, cjui kwa nn, hasa pale uliposema “from ghetto hustle to digital empire”
  2. incredible mimi

    Gari zuri kati ya NISSAN X TRAIL na SUBARU FORESTER

    Masharti km kwa mganga…. Uo ni uoga tuu kuwasha na kuondoka sio mbaya mbaya kuizima ghafla wakati umetoka masafa… Gari yenye turbo haibembelezwi hivyo uki accerelate inapokea yenyewe. Au gari yako yakufugwa nn?
  3. incredible mimi

    Gari zuri kati ya NISSAN X TRAIL na SUBARU FORESTER

    Budget y mafuta km 200k kwa mwezi, ndugu chukua ist… Au labda Km kazi kwako n mtaa wa nyuma hapo, Maana tukianzia subaru budget ya 400k fuel per month inaweza kuwa ndogo pia… Note: engine yoyote inayoanzia Cc 2000 and above kwa week tena normal driving ni laki 1 to laki 40. ( 20k per day)
  4. incredible mimi

    Mwanaume una mke na watoto lakini unaishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio eti umepanga!?

    Ww umejenga mabanda ya uani mdaula huko zen waja kutupigia kelele… Mwenye nyumba hana kelele hivyo. Ww sema unabanda la kuegesha ubavu.. Na kwa maisha hayo ya kulala na tandu bora nipange kwanza.
  5. incredible mimi

    Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    So ulianza na pungufu y m.4? Oya mleta mada ukisikia kuingia mkenge ndo huko sasa… Achana n pharmacy km mtaji wako mdogo, ukikwamwa sn ni check inbox hope u need much details, ila ukisikiliza miruzi y humu umeisha
  6. incredible mimi

    Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    🤣🙌🏽 mfumo umegoma kabisa kututenganisha
  7. incredible mimi

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mambo yamebadilika sn now days… mtoa mada kila akipitia Andiko lake analia sn, na wakumfuta machozi hayupo…. 😒😭
  8. incredible mimi

    Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    Wew Hata nikisema na pharmacy utaniamini? Ok hiyo n professional yangu na nina experience zaidi ya miaka 8 sasa, kwa mtaji wa milion 15 hapo hakuna pharmacy (hata km n Hela ya dawa tuu) hiyo DLDM labda km huelewi Maana y pharmacy unazani ni duka la starter za kuku na vyakula vya mifugo...
  9. incredible mimi

    Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    Mzigo wa pharmacy m.15? 🤣 hata kwa kuanzia hiyo pesa n ndogo sn.. m.15 n mzigo wa dawa wa Kibeba kwa boda tuu..
Back
Top Bottom