Sasa bomba la mafuta kutoka Uganda kupitia Tanzania ktk bandari ya Tanga.
Huu ni mwanzo mzuri wa Rais Magufuli baada ya kuongea faragha na mwenzake wa Uganda.
Viva Magufuli!
=======
IN SUMMARY
Uganda will take its oil to the market through Tanzania’s Tanga port, leaving Kenya to build its...
Hizi ni picha mbalimbali za Mh. Magufuli akiwa ziarani Rwanda. Rais Magufuli alipewa ng'ombe watano na Rais Kagame na kwa mila na desturi hubeba fimbo wakati wa kupewa hao ng'ombe.
Raila Odinga asafiri kijijini Chato kwa Rais Magufuli . Waziri Mkuu huyo wa zamani wa Kenya ameenda kama rafiki yake wa muda mrefu nia ni kutembeleana kama marafiki.
Tutajulishana zaidi.
Akitokea Dodoma leo, Magufuli amepita kumjulia hali Mufti mkuu wa Tanzania Zuberi . Katika hali ya kushangaza kwa mara nyingine tena amekuta wodi ya kina mama wanalala chini na hata wengine katika vitanda wanalala watano watano.
Ninamvyomjua Magufuli, kutohudhuria kwake katika siku ya Mchapalo wa Mwaka Mpya (Sherry Party) huenda kukawa kumesukumwa na mambo matatu.
1. Magufuli kwa sasa yupo Dodoma na anaomboleza kupoteza askari watatu waliokutwa na mauti ya ajali ya gari wakisindikiza msafara wake.
2. Hivi karibuni...
Botswana's President Ian Khama has been in power for 7 years and only travelled outside Botswana 5 times. 1 to the UN General Assembly, 2 to both AU summits and SADC Conferences.
Khama says that Botswana has Vice President, Foreign Minister and Country Ambassadors to represent Botswana. He...
Vituko vya Kubana Matumizi
Aliposema wanafuta safari za nje kuokoa hela – wakashangilia
Aliposema wanafuta sherehe za Ubunge kuokoa hela – wakashangilia
Aliposema wanafuta sherehe za Uhuru kuokoa hela – wakashangilia
Aliposema wanafuta kadi za Krismasi kuokoa hela – wakashangilia
Aliposema...
Miaka kumi ya kaka yako madarakani wagonjwa wanalala chini Muhimbili huku nchi ikigeuzwa ya familia moja wewe ukishinda angani kwa safari za ughaibuni zisizo na tija lakini hukusema kitu
Leo mwenzio akiwa na mwezi mmoja tu Muhimbili vitanda kibao mpaka vimezidi idadi ya wagonjwa na madawa...
Tupate kujua kama Lowassa pia atakutana na wenyeviti wa UKAWA na wale wa CHADEMA naambiwa hata Ilani bado haijulikani ni ipi itatumika, ya CHADEMA au UKAWA etc, hakujapangika huko, fuatiliani kauli ya JK mtapigwa magoli mkiwa mmesimama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.