Recent content by Inanda

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

    Labda umekuwa selected kwa ajili ya ajira, shida iko wapi? Au wameandika selected for what?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi 2025 usipokuja Kugombea Bara tutaandamana uje uwe Rais wetu Kilazima, tunakuhitaji mno

    Wewe jamaa haueleweki. Kuna nyuzi kibao unamsifia JPM na kuna nyuzi kibao unamponda JPM. Kuna nyuzi kibao unamsifia mama na kuna nyuzi kibao unamponda mama. Kuna nyuzi kibao unamsifia Bashite na kuna nyuzi kibao unamponda Bashite. Kwa kifupi wewe ni shithole.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Mambo ya kusikitisha sana. Hii inchi ni ngumu sana.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Acha kuongea kitu usichokijua. Huko chuoni kuna kipi ambacho mwenye cpa hajakisoma? Kwa hiyo huo utaratibu waliuanzisha kwa faida ya nani? Anyway mahakama itatoa direction.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Hapa napoteza muda wangu bure.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Unaijua CPA au unaisikia?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Serikali moja lakini taasisi zake hazielewani.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Acha kuongea kwa kukaririshwa. Unaongea tu kwa sababu hizo terminology umezisikia mahali. Lazima uelewe unaposema professional qualification kuna nini ndani yake. Labda kwa kukusaidia tu professional qualification ndani yake kuna hiyo academic qualification. Kwa lugha nyepesi ni kwamba...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Wataenda kutuelezea mahakamani wapi wanachanganyikiwa.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Please soma uelewe hoja yangu.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Tulishaliwasilisha hili swala NBAA na wao walishatujibu tayari walishawasiliana na Utumishi.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Serikali ya Tanzania inasikitisha sana. Yaani hakuna harmonization kabisa. Taasisi za serikali kama vile hazina maelewano.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Shida sio kusoma degree kwanza. Kwani wangeweka kigezo cha degree kama minimum entry ya cpa nani angelaumu? Shida ni kwa nini serikali ilianzisha kitu hiki. Jaribu kuwa mwelewa unaposoma kitu.
Back
Top Bottom