Recent content by implicit memory

  1. I

    Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    Naam, angalau huyu kathubutu mbona,apongezwe,,ni sample moja imewakirisha.😂😂
  2. I

    Mwenye dawa ya Kisukari ambaye yupo tayari kutuma sampo Ujerumani tuwasiliane

    Wanasema hata coca cola,hawajawahi toa formula yao!!!,, Hivyo na wao waona kwanini wasifiche.?
  3. I

    Mwenye dawa ya Kisukari ambaye yupo tayari kutuma sampo Ujerumani tuwasiliane

    Mean a trap for a local doctor who will send a sample,sample= formula.!!!!
  4. I

    Kwanini Rostam amejitoa ufahamu kutetea "mtandao" waziwazi sasa?

    Tatizo kawekeza kihalali,? Je nchi imenufaikaje na huo uwekezaji?
  5. I

    Nawezaje kupata mwanamke wa kizungu

    Hasa TikTok,aende huko,tena wengine wa bure,ni kajali mkataba tu.
  6. I

    Wachawi

    Uchawi upo,lkn usiuogope,bali mwogope mungu na kumuamini yeye pekee. Mchawi ni sawa na mbwa mkali ukipita mbele yake kiwoga woga lazima akuvamie,lkn ukijiamini hafanyi lolote kwako.
  7. I

    Mwakyembe, elimu siyo akili bali tabia yako ndiyo elimu

    Hawana tofauti kina mangungo enzi hizo.
  8. I

    Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Wapo ofisini kweli,kama hali hiyo imetokea?? ,tuzidi kuwaombea tatizo lolote lisiwapate.
Back
Top Bottom