Kama ni zile za wachawi na waganga wa kienyeji anaowawakilisha ili kumnadi huyo freemason wataenda nazo kuzimu hizo kura maana tayari AMIRI JESHI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA RAISI J.P.J MAGUFULI anasubiria kuapishwa tu.
Hawawezi kufika hata posta ya zamani mwisho wao kwa wachaga wenzao kimara suka tu sembuse Ikulu!? Pale pana wenyewe na wameshaanza kushika hatamu tayari.
Umesahau kuongezea yeye ni mwanaume pekee anayeweza kuumiza vichwa vya malofa mpaka wakashindwa kuhudumia wake na familia zao wakaishia kupeleka mahaba yao kwa Lowa hasa, ama kweli huyu ni mtu hatari
Watu wanapenda ushabiki na kufuata mikumbo tu na kujikomba kwa lowasa wakati yeye ni mwenyekiti wa wakora na ndiyo maana wanaomlia pesa zake wanamfuata kila mahali
Ninayo yangu ya Huawei ya ukubwa 10.1 inaweza kupiga kama simu pia na ina speaker za nje na jumamosi itakuwa inamaliza wiki mbili na risiti zake zipo. Kwa sasa niko mwanza.
Pole sana Kijana maana huyu jamaa nilimfahamu kwa mara ya kwanza nilipokuja wilaya ya mwanga kwenye majukumu ya kikazi na likuwa kijana mchangamfu sana nilipofuatana naye kwenye ziara ya kuwapa pole wahanga wa kimbunga maeneo ya ugweno na alikuwa mtu anayependa maendeleo ya vijana na ana uchu...
Binafsi nina furaha sana kuhusu mbunge wangu kuwemo humu jamvini na kujadili matatizo ya jimbo letu letu moja kwa moja lakini tatizo kubwa linalozungumziwa hapa sidhani kama ni la kigamboni peke yake liko maeneo mengi sana nchi kwetu na linakera sana ila naomba kuchangia hoja hii kwa mtindo...
Sasa imani yangu juu waisilamu safi wale ambao tuliwazoea kuwa ni wakarimu na wenye dini inayovutia ile ambayo tukiwa tungali wadogo tulitamani kujiunga nayo lakini wazazi wakatutaka tufuate dini ya wazazi KUMBE BADO WAPO KULIKO HAWA WAHUNI WACHACHE WENYE KUVURUGA DHANA NZIMA YA UISILAMU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.