Recent content by immasoft

  1. immasoft

    Shughuli za bunge la DRC zimeahirishwa kwa muda usiojulikana, baada ya kikao kukumbwa na ghasia

    Waafrica kila jambo likiwashinda ni wazungu tu yaani mambo yenu mshindwe kuweka sawa mnajificha nyuma ya mnao waita mabeberu
  2. immasoft

    TANZIA: Papa Baupa Diop afariki Dunia

    Dah jamaa alikuwa tafu sana kiungo pale alifunga goli pia kwenye mechi na uturuki ya 3 kwa 3 nadhani iliisha kwenye makundi yaani Rest In Peace Mwamba
  3. immasoft

    Sasa ni rasmi Mechi ya Simba na Plateau haitoonyeshwa Runingani kwa Figisu za Wenyeji hivyo nawaomba Simba niwe Mkuu wa Kamati ya Kulipiza Kisasi

    2003 simba waliifunga Enyimba 2kwa 1 bro shida umejaribu kuficha ficha ili iwe simba alifungwa mechi zote kocha alikuwa Phiri bosi
  4. immasoft

    Atakayetabiri kikosi cha Simba dhidi ya Plateu na idadi ya magoli ana Tsh 500,000

    Mimi nadhani Simba wacheze formation ya 5-3-2 nyuma waanze na Manula kama kawaida beki wawe Wawa Onyango Gadiel Tshabalala Kapombe Ame Nyoni Mkude Luis Morisson Boko/ Kagere kina kapombe na Tshabalala wanakuwa wanacheza kusaidia kiungo na wakati wanashambulia kupeleka timu mbele
  5. immasoft

    Hivi kuna Mwanasiasa kweli wa Kitanzania mwenye Ujasiri wa kuongea maneno haya mbele ya Hakimu kama Boby Wine wa Uganda?

    Pamoja na Uganda kuwa nchi ya chama kimoja majudge wao ni watu huru kuliko maelezo Angalia bunge lao lilivyo .Rebeka kadagha anampeleka Museven mpaka unashangaa kama ni member wa NRM huku kwetu wangebadili jinsia nadhani sisi tunaujinga mwingi wa kichama kuliko uhalisia wetu wa maendeleo..
  6. immasoft

    Nawaza kwa sauti: Ni lini upinzani Tanzania na Duniani kote utahubiri Amani kama Serikali inavyofanya?

    Unatangaza Amani huku umeficha Panga...yaani polisi, Tume, na wote wanaohusika
  7. immasoft

    Yanga SC 'mtatukoma' Simba SC, kwani huyu tunayeenda 'Kumsajili' sasa Mukoko Tonombe wenu 'anasubiri' sana

    Ajibu na Yondani mliwafanyia scout haa eti Moro alikuwa beki bora Zambia mkavutiwa nae na Ukhbor na Yikpe mlimfanyia pia hata Sibomana mkawa na timu hatari Morrison kama mlifanya scouting msingempa mkataba wa meizi sita halafu Yikpe mkampa mkataba wa mwaka ...
  8. immasoft

    Yanga SC 'mtatukoma' Simba SC, kwani huyu tunayeenda 'Kumsajili' sasa Mukoko Tonombe wenu 'anasubiri' sana

    Hivi na nyie Ajibu na Yondani mliwafanyiaga scouting ushabiki wa simba na yanga ni kichefuchefu..Lamine Moro Simba iliwafanyia scouting mbona mlibeba na yula Ukhbor straika walifanya majaribio Simba wote
  9. immasoft

    Nakubaliana na Rais Magufuli. Hakuna haraka yoyote ya kuunda Baraza la Mawaziri. Prof. Kabudi na Dkt. Mpango wanatosha kwa sasa!

    Nasikia ni kwa sababu hakuna hela na mawaziri wataongeza gharama ikabidi ateue hao ili kuona pesa inayoingia na nini watafanya kwenye diplomasia ili kupata ahueni na mwelekeo na Mpango ni wa kuzisaini. Ni tetesi za kitaa lakini
  10. immasoft

    Wafanyabiashara mkoa wa Arusha watangaza kumuunga mkono Rais Magufuli

    Karibu Arusha ujionee sisi wa Sombetini tupo hao ni wafanya biashara na ni wanachama wa CCM hali ya Mrisho ni mbaya
  11. immasoft

    GE2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

    Interchange ndo nini huku kigoma wala hatujui mkuu basi hapo dar mpeni kura kwa wingi ili mpite kwenye interchange mkiwa na hofu kama hamjawahi kuchangia kodi
  12. immasoft

    Ni haki ipi na uhuru upi ambao viongozi wa upinzani wanatafuta?

    Kama jambo dogo hivi ndo linakufanya utulie na uwaze basi wasiwasi wa uwezo wako si wakutilia shaka😂😂😂
Back
Top Bottom