Recent content by Imma mfugale

  1. I

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

    Tuongeze udaku bungeni
  2. I

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bilionea Mustafa Sabodo afariki dunia

    Ukifika uchaguzi ndani ya chama basi nenda kachukue form ya uenyekiti taifa afu uje utupe mrejesho
  3. I

    JamiiForums Tanzania Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Bimkola wa Mbeya sec mimi ndio nilikuwa namuelewa
  4. I

    JamiiForums Tanzania Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

    Tukilima wote, nani atanunua mazao ya mwenzie?
  5. I

    JamiiForums Tanzania January Makamba anafaa kugombea Urais 2030

    CCM ni ile ile, sahz tunamtaka Chalamila.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Fananisha bandari kavu zetu za Kwala na Isaka na hii ya DP World Kigali

    Hizo bandali ulizozitaja zipo hivyo kwa uzembe wa nani?
  7. I

    JamiiForums Tanzania MIKOPO "umiza" kwa watumishi wa umma hakuna wa kiwasimamia?!

    Mikopo ni mitamu mzigo unapoingia kwenye akaunti ila ni mchungu baada ya mzigo huo kuisha
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi, nimetengwa na Ndugu, jamaa na marafiki!

    Anza kutafuta hela watakufata wenyewe
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ni dealer yupi hapa bongo anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya 0 kilometer ?

    Maskini wanamaelezo marefu sana
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mishahara kada za Afya iongezwe, wanahatarisha sana maisha yao

    Toshekeni na mishahara yenu Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  11. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Mbona haongelei Uchumi kwa sasa kama kwa Hayati Magufuli

    Ashalamba asali nae
  12. I

    JamiiForums Tanzania Serikali inatudanganya kuhusu mfumko wa bei?

    Kuna uwezekano mahesabu yanayopigwa huko serikalini hususani yanayohusu asilimia ni tofauti na sisi tulivyojifunza darasani Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  13. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakuu wa Mashirika walikuwa wanakopa fedha Benki ili walipe Gawio Serikalini kulinda vibarua vyao

    Wakikopa pesa ya kulipa walikuwa wanatoa wapi? Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  14. I

    JamiiForums Tanzania Tuwe waungwana, Serikali haiwezi kuongeza laki moja kwa kila Mtumishi

    Ushapiga hesabu bajeti ya posho ya vikao vya wabunge ni kiasi gani!?, (Achana na mshahara) Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom