Recent content by imm

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Umeme Wa magari Ila 2 Sina Cheti cha jkt vipi hap Na mm Nina sifa hapo
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa mfano mm Sina Cheti cha jkt Nina fani .naruhusiwa kutuma maombi
  3. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ada ya kozi ya Ufundi Umeme wa Magari kwa mwaka katika chuo cha Veta

    Habari zenu Wa jf nilikuwa nauliza Kwa anaye fahamu gharama za Kozi ya ufundi umeme wa magari Kwa mwaka
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nijifunze ufundi wa magari

    Chuo kinaitwaje
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nijifunze ufundi wa magari

    Habari wana jf hivi Kwa mwanza Kuna chuo cha kufundisha matumizi ya hii diagnosis kama kipo nijuze kipo sehemu gani
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nijifunze ufundi wa magari

    Habari wana jf hivi Kwa mwanza Kuna chuo cha kufundisha matumizi ya hii diagnosis kama kipo nijuze kipo sehemu gani
  7. I

    JamiiForums Tanzania Hivi hamuwezi kuimba bila kuonesha maungo ya mwanamke

    Huu ni wakati Wa mwisho Wa Dunia so shetani anafanya hivyo ili mpate dhambi ya Tamaa ya Macho Na mwili
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nijifunze ufundi wa magari

    Mawasiliano yako
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hivi hamuwezi kuimba bila kuonesha maungo ya mwanamke

    Soma kitabu cha ufunuo Wa Yohana utagundua malengo Yao Na utajua ni wakati gani huu
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nijifunze ufundi wa magari

    Mimi ni kijana Wa umri wa miaka 22 nimemaliza kidato cha nne ila kukaa nyumbani nikaona noma ndio likaniijia wazo la kutafuta ujuzi mi nikaona nijifunze ufundi umeme wa magari nipo Dar Kwa mwenye garage au fundi Wa garage kama yupo. Naomba tuwasiliane 0772559432 nipo tayari kumlipa huyo MTU ombi
  11. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kati ya ufundi simu na ufundi wa umeme wa magari upi unalipa?

    Yaani lengo langu ni kupata uzoefu kwanza mtaani baada ya hap naenda chuo
  12. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kati ya ufundi simu na ufundi wa umeme wa magari upi unalipa?

    Ni kweli Ila nilikosea
  13. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kati ya ufundi simu na ufundi wa umeme wa magari upi unalipa?

    Wakuu Nilikuwa nataka kujifunza ufundi magari kitengo cha umeme wa magari nilikuwa Naomba mwenye garage anisaidie au kama Kuna MTU anafahamiana Na mwenye garage 0622706319
  14. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kati ya ufundi simu na ufundi wa umeme wa magari upi unalipa?

    Kati ya ufundi simu na ufundi wa umeme wa magari upi una lipa
Back
Top Bottom