Recent content by imanihope

  1. I

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

    Kwanini usimuonee huruma huyo rafik yako mmbea anayevuta nae bangi ikamuathir had akakosa dhamana ya kuwa yeye kiongozi wa chuo badala yake unamuongelea mtu ambaye kaaminika na kapewa dhamana ya kuongoza kundi la watu. Kwanini tusiseme wewe ndio unavuta bangi had unakosa upeo wa kufikiri na...
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

    Pale tu mnapokuwa committed kimatendo na maridhiano,kila mtu kukaa kwenye nafasi yake,kimajukumu.
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu mwenye taaluma gani kamwe huwezi kuwa nae kwenye mahusiano ??

    Taaluma haina athari sana,kabila,jamii,umri aina ya kazi labda hayo
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 5 yanayofanya mwaume azeeke haraka

    Pombe,wanawake,ndoa mwisho
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mume wangu ana watoto wa nje ya ndoa

    Anafanya majukumu yake kama ilivyo awali,au kuna mahala paliyumba ndio ukaamua kuyatafuta haya? Incase yuko standard kwenye majukumu yake,nakushauri endelelea ulipoishia,hapa ulipo patakuua na patapoteza ndoto zako na kizazi chako,na at the end utajuta.
  6. I

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Morogoro Manispaa Nije Kibaha mji/Bagamoyo Elimu Sekondari Njoo PM tuzungumze
  7. I

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Morogoro Manispaa Nije Kibaha mji/Bagamoyo Elimu Sekondari Njoo PM tuzungumze
  8. I

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwanza wilaya gani?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale iPhone 6 for sale- Moro town

    Sold
  10. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mkopo wa dharula Tsh 150,000/=

    Solved
  11. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amepoteza mvuto

  12. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatoi matumizi ya mtoto, kaomba nimkopeshe pesa

    Huyo hana mapenzi na wewe,na anayafahamu madhaifu yako anatumia kama silaha kukufanya anavyotaka! Fanya maamuzi songa mbele,la sivyo utajikuta hauna kitu at the end.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale iPhone 6+ for sale-380k

    Solved
  14. I

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa 8ml ipo Morogoro

    Solved
  15. I

    JamiiForums Tanzania Data entry job

    Sasa ndugu yangu hii kazi naipataje naona niko capable nayo! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom