Recent content by Im Me

  1. Im Me

    JamiiForums Tanzania Hivi Lazaro aliyefufuliwa na Yesu, alitoa ushuhuda gani kuhusu kuzimu baada ya kufufuka?

    Kupitia maandiko inaelezwa kua kabla ya yesu kufa na kufufuka, watu walikua wakifa wanaenda kuzimu wakisubiria kiama wakati wa hukumu, na kuzimu ni giza nene (huenda ni kwenye usingizi mzito). Baada ya Yesu kufa alishuka kuzimu kuwachukua wafu (kwaajili ya hukumu) kuanzia hapo mtu ukifa moja...
  2. Im Me

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu atamsamehe shetani?

    Baada ya kuasi
  3. Im Me

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu atamsamehe shetani?

    Lakini maandiko yanasema shetani alikua ni malaika tu, Kwa maana hiyo alikua chini ya Mungu
  4. Im Me

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu atamsamehe shetani?

    Kwa maana hiyo hukumu haitatenguliwa tena?
  5. Im Me

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu atamsamehe shetani?

    Kivipi Mungu na shetani ni kitu kimoja
  6. Im Me

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu atamsamehe shetani?

    Hakika
  7. Im Me

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu atamsamehe shetani?

    Na Mungu je?
  8. Im Me

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu atamsamehe shetani?

    Kosa la uasi
  9. Im Me

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu atamsamehe shetani?

    Ikitokea akatubu je? Bado hatasamehewa?
  10. Im Me

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu atamsamehe shetani?

    Inatafakarisha sana
  11. Im Me

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu atamsamehe shetani?

    Habari wana JF? Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kwenye maandiko ya dini mbalimbali tunaona Mungu anahamasisha kupendana na kusamehe. Tunatambua kwamba uadui kati ya Mungu na shetani ulitokana na Shetani (Malaika) kumuasi Mungu. Je, ikitokea siku shetani akakubali kukiri na kutubu...
  12. Im Me

    JamiiForums Tanzania EU yaidhinisha Tsh. Bil.35 kukabili ugaidi mpakani mwa Tanzania na Msumbiji

    Nadhani na Tz tutakua tumeshapeleka wanajeshi mipakani kule, maana hao magaidi wanaroho ngumu wanachinja watu kama wanyama, ni vizuri kujipanga mapema wasiingie Tz
  13. Im Me

    JamiiForums Tanzania Nikitizama mlima Kitonga naona pale pia tunaweza pata chanzo cha mapato

    Tunalifanyia kazi hilo
  14. Im Me

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Lema, acha Mama afanye kazi yake

    Usitusemee ambao hatuishi kwa amani
  15. Im Me

    JamiiForums Tanzania Wajapan kujenga shule ya uhandisi wa tiba jijini Dodoma

    Ni vizuri, itasaidia kama viwango vyao vitakua bora pia
Back
Top Bottom