EU yaidhinisha Tsh. Bil.35 kukabili ugaidi mpakani mwa Tanzania na Msumbiji

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,355
8,043
Mkuu wa diplomasia wa EU Josep Borrell amethibitisha uungaji mkono huo ili kuimarisha ulinzi na kukabiliana na ugaidi baada ya mashambulizi kadhaa ya umwagaji damu yanayohusishwa na wanajihadi kwenye mipaka ya nchi hiyo na Tanzania.

Amesema EU iliidhinisha nyongeza ya Ths. Bilioni 35.5 za msaada wa kijeshi utakaosaidia katika jimbo la kaskazini la Cabo Delgado ambalo halijawa na utulivu kutokana na matukio ya mara kwa mara ya umwagaji damu.

==================================

The head of European diplomacy Josep Borrell reaffirmed Thursday the EU's support for Mozambique by announcing new military aid to help the country face "terrorism" after several bloody attacks attributed to jihadists in the north.

Arriving from South Africa for a two-day visit to Mozambique, Borrell met in the capital Maputo with President Filipe Nyusi and his Foreign Minister Veronica Macamo, where he held a press conference to "express the commitment and solidarity of the EU with Mozambique in its fight against terrorism.

He added that the EU had approved on Thursday an additional 15 million euros in military aid to support Mozambique in the unstable northern province of Cabo Delgado, regularly bloodied by attacks attributed to jihadists.

Rwanda's Kagame visits troops in Mozambique, confirms mission on course Rwanda's Kagame visits troops in Mozambique, confirms mission on course | Africanews

— africanews 😷 (@africanews) September 25, 2021
The funds will provide Maputo with equipment and vehicles, among other things, and are in addition to the 89 million euros already earmarked to support the Mozambican armed forces, the EU said in a statement.

Macamo described the Euro-Mozambican relationship as "excellent", and Nyusi welcomed the EU's support, which includes the creation of a military training base for Mozambican forces, which Borrell is scheduled to visit on Friday.

Borrell's visit comes a day after an Italian nun was killed in an attack on the headquarters of her congregation in the northeastern province of Nampula, claimed by the Islamic State group.

The attack is "a dark reminder that the fight against terrorism is not over, and that unfortunately, it extends outside the Cabo Delgado region," Borrell said.

AFRICANEWS
 
Nadhani na Tz tutakua tumeshapeleka wanajeshi mipakani kule, maana hao magaidi wanaroho ngumu wanachinja watu kama wanyama, ni vizuri kujipanga mapema wasiingie Tz
 
Fedha zimetoka EU naota ..nilifikiria zimetoka 🇷🇺, na njaa hiyo inanyemelea horn of Africa, hope's Russia kama kawaida yake atamwaga misaada yake
 
Mawee!! Amkeni nyie waafrica wajinga......hakuna muafrica tajiri Rais. Mfanya biashara anayewazia au weza kufadhiri ugaidi africa ni hao hao EU.ajli ya kutudhoofisha kiakili Ndo wafadhiri wao hao wachinjaji wanayafanya sababu wana njaa na kuchonganishwa yaani mie nikiwa Rais mtajua mengi siogopi na wala sifi mnicjague muone moto wa ukweli.
 
Mawee!! Amkeni nyie waafrica wajinga......hakuna muafrica tajiri Rais. Mfanya biashara anayewazia au weza kufadhiri ugaidi africa ni hao hao EU.ajli ya kutudhoofisha kiakili Ndo wafadhiri wao hao wachinjaji wanayafanya sababu wana njaa na kuchonganishwa yaani mie nikiwa Rais mtajua mengi siogopi na wala sifi mnicjague muone moto wa ukweli.
Pole sana jitahidi upate hata lunch njaa mbaya sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom