Recent content by im chosen one

  1. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Nilijiona mjanja kumbe mjinga tu, hatimaye leo nimetapeliwa

    Mkuu sikucheki hii kitu ilinitokea miaka kama sita iliyopita,kwa style kama yako walifanikiwa kuondoka na laptop yangu
  2. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

    Nimeacha wanawake kama wanne kwa mtindo huo,yaani hata amjajuana kashaleta mkeka wa matatizo,sa si bora ununue tu
  3. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani utakutana nazo kwa kuoa au kuishi na Mwanamke mwenye mtoto?

    single mama nikumzawadia mtoto mwingine alafu unalala mbele ili akili zimkae sawa
  4. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanakula vyakula vizuri kuliko familia zao

    Sababu ni vyakula vingi vya nyumbani ni common hamna manjonjo,tunakula vizuri ili tupate hari ya kutafuta kisawasawa na si unajua bia mwenzake nyama tusilaumiane sana!
  5. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

    Pole mkuu, magonjwa ya zinaa yamenifanya niwe muoga wa kula mbususu ovyo,hiyo ni baada ya kukojoa usaha way back!
  6. im chosen one

    JamiiForums Tanzania SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    Nakubaliana na wewe asilimia mia,bangi ni uelewa uliofichwa na umefichwa kwasababu ulizozitaja hapo juu,raha ya bangi ni pia na ww uwe smart kichwani then itumie ukiwa umetoka kwenye mizunguko yake then ipe nafasi uone inavotenda! ukiacha na kujisikia relaxed kitu kingine nilichopendea uo mmea...
  7. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Nimepotea naona giza kwa hii anasa

    hakika mkuu na moja ya dhaifu lao kuu ni kuhisi wana haki ya kupewa hela kutoka kwa mwanaume yoyote🤣🤣
  8. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Nimepotea naona giza kwa hii anasa

    Aombe Mungu apate mwenye huruma na pesa zake 🤣🤣
  9. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Nimepotea naona giza kwa hii anasa

  10. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Nimepotea naona giza kwa hii anasa

    pia kitu kingine ni kuwa uwezi acha kwa spidi hivyo hapo umepumzika kwa kias,maana itafikia hatua utakumbuka namaba na group ulizofuta telegram,chakufanya kupunguza makali tafuta replacement,tafuta pisi moja tulia nayo kwa muda.
  11. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Nimepotea naona giza kwa hii anasa

    pole mkuu,kitachokutesa baada ya kupumzika kwa mda ni zile kumbukumbu(speaking from experience) hasa kama ulikutana na wajuzi,suluhisho ni kuweka lengo la pesa zako mfano kununua kiwanja etc na kwa kias flan itakuwa rahisi maana uchukui wale wa bei rahisi.
  12. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Sababu zangu za kuoa single mother

    Siwezi kuwa na single mother kwasababu za un necessary drama,un necessary stress,yaan uko na mtu yeye ana mwaza mtoto wake helll no
  13. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

    Kwa sisi Wavivu wa kulima tufunike kombe mwanaharamu apite!
  14. im chosen one

    JamiiForums Tanzania Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

    mtoa uzi,tupe mrejesho ya ile suprise
Back
Top Bottom