Recent content by Ilonza

  1. I

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Diwani uku roho mkononi.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    kijiji cha kanyabwenda na vitongoji vyote ni cdm
  3. I

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    kiguzi na vitogoji vyote 6 ni cdm
  4. I

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    kata moja ya karambi, vjj vyote na vitongoji vyake vimechagua CHADEMA. ccm nawaonea huruma.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Rasimu mpya ya elimu 2011

    Darasa la saba iwe sita(6) sule ya upili iwe miine, baada ya hapo wajiunge na chuo kikuu au veta.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Migomo mipya vyuoni.

    Haya bhana lkn mwisho wa mwisho wa mwisho nature will select.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Migomo mipya vyuoni.

    Mapinduzi mengi duniani yanaanzishwa na wasomi, hacha woga kijana la sivo utakufa maskini.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Migomo mipya vyuoni.

    Ongezeko la seat allowance zaid ya mara tatu ya mwanzo, inasikitisha sana. Nawaomba wanazuoni wanaopata elimu for liberation to think about this. Wabunge wanadai kuongezeka kwa gharama ya maisha, je wanafunzi ela watapata wapi kwa mfumuko huu wa bei? Je raia wakawaida wanaesabiwa wapi?. Zito...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Kipi ni chuo bora hapa Tanzania?

    Chuo bora ni Udom kikifuatiwa na SUA.udsm haifai kuingia ata 5 bora tatizo rank hazifuati vigezo.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kipi ni chuo bora hapa Tanzania?

    Chuo bora ni Udom.
  11. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana wenye elimu ya juu,ni matatizo.

    Ushauli kwa vijana ambao hamujaoa zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma kitabia(bad behaviours) , kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
  12. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana wenye elimu ya juu,ni matatizo.

    Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani huyu mpenzi ananipenda au la!

Back
Top Bottom