Recent content by ILLUMINATI RUMI

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

    Jidanganye,siku ukimfumania ndo siku utakunywa sumu ujifie kwa kutegemea wako peke yako
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana siku zake Tatu anazozipenda katika wiki

    Mimi napenda ijumaa,jumamosi na jumapili
  3. I

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ana miaka 53 ila nashangaa anavyosema kazaliwa 1982!

    Kwahiyo unataka na kaka yako apunguze? au shida yako n ini?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Serikali yafyeka mishahara ya watumishi

    Bado huyo sijui anafanyakazi kampuni gani
  5. I

    JamiiForums Tanzania Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Wewe kama wanazengea mke wako malizana nao huko huko,acha kutoa vitisho kwa wengine
  6. I

    JamiiForums Tanzania Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Tafuta hela acha kulialia hovyo
  7. I

    JamiiForums Tanzania KERO Biashara ya Ukahaba Mbezi Mwisho, Kwenye Bar ya Lubumbashi na maeneo yake ya jirani ni hatari kwa maadili ya watoto na kero kubwa wakazi wa eneo hili

    Wewe mtu mbaya sana kwa nini umechelewa kututangazia,najimwaga huko Sasa hivi nikale starehe
  8. I

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 ya kifo cha Magufuli: Haya ndiyo mabaya yake katika utawala wake

    Utumbo wote nimeshindwa kuusoma,vapour tupu
  9. I

    JamiiForums Tanzania Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Kama ni Mimi wangeenda kunilipia mahakamani na riba yake
  10. I

    JamiiForums Tanzania Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Benki Gani hiyo tuiepuke kuweka hela
  11. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI acheni kiburi

    Sio tamisemi tu,hata serikali kuu madudu hayohayo,wengine tunamwaka na nusu tuliomba uhamisho hamna majibu
Back
Top Bottom