Msanii ni fisi au swala!!! Kama ni mtu kwanini asiwe ana haki za msingi za kuchagua au kuchaguliwa....
Kati ya wasanii wote walionyesha hisia zao ni diamond peke yake umemuona!!!
Sijui mnafikiriaga kwa kutumia matundu!
Tumeshawapa majibu lakini mnajifanya hamsikii wala kuona...
kwanza ni Diamond peke yake anayewapigia kampen ccm?? Ni wasanii wangapi wanawapigia kampeni ccm hujawataja...
Je angekuwa amewapigia kampeni UKawa ungekuja na huu utumbo wako...??
Wakati anampigia kampeni Lowassa mbona...
Wabongo bwana hapo Ungesema Baba yako alisema umpigie Magufuli, matusi ambayo ungetukanwa wewe na Baba yako yangekuwa jumla ya matusi yote ambayo umewahi kutukanwa.....
Halafu mbona wakati anampigia kampeni Kikwete mwaka 2010 hamkuongea???, wakati anampigia Lowassa mwaka huu hamkuongea !!
Acheni kujenga chuki zisizokuwa na msingi
Una haki ya kuchagua kumshabikia au kutomshabikia... Na Diamond ana haki yakumchagua mgombea yeyote anayemtaka yeye...Ila kwa mfano Baba yako akiwa CCM utaacha kumuita Baba...??
Siasa zisitufanye tukaanza kujengeana chuki, hapo umeanza na Diamond , then unakuja kwa ndugu, jamaa na marafiki
Freedom of worship... But you have to be wise when making your choices... Usifanye maamuzi ukiwa na mhemuko... jiulize upo tayari kuwa muislam, utaiweza Misingi yake maana usikute unataka kuishi kama familia ya rafiki yako ila sio kuoshi kama muislam... Hope umenipata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.