Recent content by ilangasika

  1. ilangasika

    HODIIIIIIIIII

    mhhhhh hapana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ilangasika

    HODIIIIIIIIII

    ahsante mkuu hao wahenga sasaaa mhhhh Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ilangasika

    Nikomae nitafute mkwanja au niamue kumridhisha yeye?

    these people hawaangalii sana mkwanja wakati mwingine tena kibaya nae anao, hapo ndo hatar zaid, anaweza kukuacha halafu akamtafta jobless ili amu treat kama anavyo taka huyo bibieeee maandiko matakatifu yanasema enyi waume ishini na wake zenu kwa akili sana CHUKUA HIYO MKUU Sent using Jamii...
  4. ilangasika

    Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

    ikifutika naamini hata brain haitateseka tena mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ilangasika

    Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

    hapa kweli lazma chamoto kionekane Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ilangasika

    Nikomae nitafute mkwanja au niamue kumridhisha yeye?

    wanawake wanahitaji sana mapenzi huenda hata kuliko kazi kwa hiyo jitahidi saana kuwa karibu nae hata kwa kumpigia cm, sms, na ukiwa nae karibu hakikisha unaonyesha upendo ambao ameumic kwa kutwa nzima. kumbuka anaweza kukuacha kama hali ya kuwa mpweke mpweke itazid yaana anaweza kutafta...
  7. ilangasika

    HODIIIIIIIIII

    ahsante sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ilangasika

    Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

    yaaani mpaka nimetetemeka hasa nikiunganisha na kipindi cha tohara za kienyeji nilozopitia kule kijiji kwetu, duuuuuu sijui kama naweza Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ilangasika

    Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

    hii ni kweli kabisaa najuta sana, maana nilichorwa bila kujua madhara yake Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ilangasika

    Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

    alifariki Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ilangasika

    Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

    mwemweeeeeeeeeee nafwaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ilangasika

    Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

    aiseeeeee itabidi nichome ganzi kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ilangasika

    HODIIIIIIIIII

    jamani mie mgeni katka forum hii kuna muda niliwahi kujiunga ila kasimu kangu kaka haribika, Sasa nimerudi ila sijui vitu vingi saana humu, ningependa kupata maneno mhimu yanayotumika humu pia na maana zake kwa lugha rahisi zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ilangasika

    Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

    Wadau nimekaa na (tatoo) yapata miaka 20 sasa, nilichorwa na kaka yangu aliyekuwa akiishi THAILAND, nimekuja kuona haina faida yoyote kwangu, kibaya zaidi ni ile ya kuweka wino kwenye sindano na kuchoma kwenye ngozi. Nahitaji kuifuta naomba msaada kwa anayefahamu mafuta au chochote cha...
  15. ilangasika

    Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

    Future nachos kautani hivi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom