Recent content by IkuluKwetu

  1. I

    JamiiForums Tanzania Hali tete mtaani. Baa zazidi kufungwa kwa kukosa wateja!

    Jamani ni kweli. Najua marafiki zangu wamefunga groceries zao kisa hakuna wateja na muda wa kunywa umepunguzwa hadi saa 6 tu kwa siku. Hawana fedha za kuwalipa madada wanaowauzia ambao nayo ni ajira yao. Sasa wanaenda kujiuza cheap huko nako wateja hamna ukimpata ni asiyehitaji kondomu. Majanga!
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tanzia ya Mzee Jumbe na yaliyomo katika kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi

    Nilichosoma ni kurudia makala ya Mihangwa mwanzo mwisho. Sijui Uzi wako ni upi? Copy & Paste
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa maziwa makuu Magufuli anaujua?

    Mchezo huu hauhitaji hasira ni busara na intelligence tu. Kuna hatari ya Kagame kuisambaratisha Tanzania kiuchumi na kiardhi. Hajafurahi M23 kusambaratika chini ya Jakaya.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Tanga Mjini CUF ashikiliwa na Polisi, kusafirishwa usiku huu kwenda huko Dar es Salaam

    Naona kuna selo maalum huko Darasalama maana hata Lissu aliletwa huko huko badala ya singida!
  5. I

    JamiiForums Tanzania Buriani Jumbe, wanafiki tuwaone

    Mzee umeweka namba ya simu ili Lumumba wakupigie simu ukaimbe utenzi huo msibani upewe buku 7, anyway ni ujasiriamali.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mzee Mangula: 2015 ulikuwa uchaguzi mgumu lakini tulishinda

    Mangula si mnafiki!
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

    Mnaitazama hiyo picha vibaya. Huyo ndiye JK halisi. Picha mlizozoea alikuwa akivaa bullet proof ndomana kifua kilijaa. Siku hizi havai tena.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Bunge kuanza August 22,2016 Je wabunge CHADEMA kushiriki?

    Chadema wasipotekeleza UKUTA watapotea kabisa katika ramani ya siasa nchini Tanzania. Msimamo usioyumba ni muhimu. Uchwara akipelekwa ngangari ngunguri ataelewa tu!
  9. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuunganisha nguvu na ACT Wazalendo kujenga UKUTA

    Ikishaamuliwa Roma (Machame) hakuna wa kuipinga.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la wahariri lapinga vikali Gazeti Mseto kufungiwa

    UKUTA UKUTA UKUTA UKUTA
  11. I

    JamiiForums Tanzania How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

    Huu ni ubinafsi uliopitiliza. Tukatae. Kwa nini hakuna Butiama International Airport? Usilazimishe wananchi wako kuwapenda ISIS.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato: Serikali yatangaza tenda

    Upendeleo na ubinafsi uliouchi.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Serikali haitotoa chakula cha msaada kwa watakaokumbwa na njaa

    Baa la njaa si balaa la njaa!
  14. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hivi upinzani ni tishio kwako?

    Ukweli tunaujua lakini tunaukimbia. Hata mimi ningekuwa Rais Magufuli ningefanya hivyo hivyo. Rais anajua nguvu za Lowassa toka akiwa CCM. Anajua Lowassa amezungukwa na watu wa aina gani. Magufuli anaweza kuringia vyombo vya dola tu lakini strategy za siasa hana hivyo njia pekee ni kumdhibiti...
Back
Top Bottom