Recent content by Ikuli

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anaharisha kinyesi cha utelezi

    Madokta mwanangu anaharisha mara kwa mara kinyesi kimechanganyika na ukijani na povu, tafadhali mnisaidie
  2. I

    JamiiForums Tanzania Homa ya manjano

    Naombeni majibu kwa msaada wa wengi, nilienda kupima nikakuta negative kwenye vilar load (Bugando) na kipimo kidogo vya mtaan ni kinaonyesha positive. Vipi hapo, mwenye uelewa anijuze. Kama je nifanyeje nimalize kila kitu.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Kapime homa ya ini
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dawa ya lactolose inatibu Nini
  5. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jina na tiba za mmea huu

    Mmadokta, huo mmea unaitwaje?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

    Tarh 3 aende kuanza dawa
  7. I

    JamiiForums Tanzania Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

    Jamani Nina ndgu yangu amepima akakutwa na homa ya manjano...tafadhari naombeni msaada wenu
  8. I

    JamiiForums Tanzania Fahamu masuala mbalimbali kuhusu ugonjwa wa Homa ya ini (Hepatitis B)

    Nasikia kuna tiba mbadala
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ndani

    Naombeni tiba ya homa ya ini
  10. I

    JamiiForums Tanzania Fahamu masuala mbalimbali kuhusu ugonjwa wa Homa ya ini (Hepatitis B)

    Jamani naombeni dawa ya homa ya ini....ndugu yngu kaenda kutoa damu kwa baba akakutwa positive
Back
Top Bottom