Homa ya manjano

Homa ya manjano

Ikuli

Member
Joined
May 31, 2020
Posts
14
Reaction score
5
Naombeni majibu kwa msaada wa wengi, nilienda kupima nikakuta negative kwenye vilar load (Bugando) na kipimo kidogo vya mtaan ni kinaonyesha positive. Vipi hapo, mwenye uelewa anijuze.

Kama je nifanyeje nimalize kila kitu.
 
Hicho Cha pcr ndio kipimo Cha mwisho, kipimo Cha mtaani hakipo specific.
 
Back
Top Bottom