Recent content by ikitururu

  1. I

    Akili Ndogo na Kubwa

    Robin Williams aliwahi kusema 'tatizo ni, Mungu alimpa mwanaume ubongo na uume na damu tu ya kutosha kuendesha kimojawapo kwa wakati mmoja pekee' .....je hili linaweza kuwa na uhusiano na mustakabali wa taifa letu pale inapotokea kuwa damu ya vingozi walio wengi inaenda mara nyingi kwa uume na...
  2. I

    What do you personally do to ensure you get the right vitamins and minerals daily?

    Kwa vitamins kama Vit. A kula orange fleshed sweet potatoes (viazi vitamu vya orange), pata dona au tumia fortified food staff ambazo zina essential minerals and vitamins kama zinc, folate, iron, vit B2, 12 etc......fortified food zitakuwa localy available soon kutoka viwanda vyetu.....na...
  3. I

    thamaki huyu

    kwa wanaojua kumla samaki, ili ujue bado ni mzima huwa unaanzia kichwani. nionavyo mimi samaki huyu ameoza kuanzia kichwa hivyo hafai kuliwa.......ila kusaidia wadudu hawa wasiendelee kuleta harufu, nijambo jema kuondoa baadhi ya viwiliwili kama njia ya awali, tuchemshe na baadae tumkaushe...
  4. I

    Afande Sele kugombea ubunge 2015

    kazi ipo.....:lalala:
  5. I

    Dirisha la hoteli aliyolala Mheshimiwa Malima lina majibu yote...

    hivi inakuwaje hoteli kama hii wakubali kuharibiwa reputation yao kiurahisi namna hii.......kwani ilivyo kwa sasa Nashera sio hoteli salama tena iwe kwa mtu wa kawaida au mtalii......:bump2:
  6. I

    Huu utafiti jamani-Eti 80% ya wanaume husaliti ndoa zao……!

    ...idadi ya jinsia ya kike inayo-chit itakuwa kubwa kuliko 4/5 kwa kila seti ya 10 kwani inasadikika uwezo wa jinsia ya kiume kuwaridhisha wale waishio nao kwa muda mrefu umeendelea kupungua.....:photo:
  7. I

    best proposal ever

    ..duh hii kali:photo:
Back
Top Bottom