Recent content by ikibwabwa

  1. I

    JamiiForums Tanzania Namshangaa Wassira kujiona anaweza jibishana ubavu na Warioba

    Huyu wasira si ndo yule anayetafutwa na maafisa wa wanyama pori ?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tamko la wapemba waishio Tanzania bara kuhusu Muungano

    Hao ni wanafiki wanaostahili kuchomwa moto. Zile bendera za zanzibar ni za nini ?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Leo rais Kikwete ktk kulifungua bunge bunge la Katiba kasema mengi kuhusiana na Rasimu ya katiba . Kilichonigusa mimi ni kuwa msemaji wa Kukipigia chapuo chama chake jambo ambalo tulilitegemea. Hata hivyo kitendo chake cha kuijibu rasimu ya akina warioba kwa kuwapinga kwa maoni yao ya serikali...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Mtaji wako nini hasa? Kawe maendeleo yamedorora miaka mitano sasa

    Jiandae kuchukua fomu kupitia ccm.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo Mkataba wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Articles of Union)

    Huo mkataba umeshavunjwa siku nyingi na unatuchanganya tu. Kama siyo serkali moja basi ziwe serkali 3. Kwa nini zanzibar ina katiba ndani ya katiba ya muungano aafu tumefanywa kama maboya ?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa azindua kampeni Kalenga

    Hakuna utawala wa milele hapa. Wana kalenga wanalifahamu hili. Nzogwe molimoli.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Majimbo yanayotawaliwa na CHADEMA yazidi kudhoofika kiuchumi kutokana na siasa chafu...

    Nadhani jina lako ni mzuka . Aafu mada yako haina uhalisia bali unasumbuliwa na chuki na ukibaraka itakusumbua sana hasa daftari la wapiga kura likiboreshwa nchini, utakimbia nchi ww.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Tazama saini za maafisa wa ikulu sakata la wapentekoste kutochaguliwa bunge la katiba

    Wananzi wa ccm watoe majibu hapa kutokana na uzembe huu wa ikulu. Watu makini wakiilaumu serikali hii kwa uzembe na udhaifu, wa ccm wanavimba macho, haya ushahidi mwingine huo.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa matokeo ya kidato cha nne wabunge wetu mnahusika

    Fanya utafiti kwanza usikurupuke bila mifano. Mfumo huu ni mpya na ndo maana unaiona alama e ambayo miaka ya nyuma haikuwepo kwa matokeo ya iv. Aafu unaandika maneno mengi kimakosa je tukuite nawe uchafuuuuu ? ( swala, ukiringanisha, zinzwekwa )
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nyaronyo Kicheere 'ahamia CCM'

    Someni vizuri na kutafakari mtaona kuwa mtoa mada anamlaumu mtawala wa nchi kwa kuachia mambo yaende kama hakuna mtawala. Wa tz wengi tunakimbia huku tumefumba macho matokeo yake tunabaki mbumbumbu. Hiyo ni fasihi jamaniiiiiii.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Nyaronyo Kicheere: Kikwete ananichukia bila sababu

    wengi wanakurupuka tu hawaelewi fasihi ktk lugha .
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nyaronyo Kicheere: Kikwete ananichukia bila sababu

    umetupotezea mda sana yote hayo yalitosha kwa mistari/ sentensi mbili tu. Hapa umeelezea namna ulivyokuwa unakua na kubadilisha kaptura. Usirudie tena.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nyaronyo Kicheere: Kikwete ananichukia bila sababu

    baba soma taratibu utamuelewa tu mtoa mada, usikurupuke. Yaonyesha umezoea kusoma kitabu kimoja. Unafahamu kingunge ameingia pale akitokea kundi lipi ? Ni sahihi ?
  14. I

    JamiiForums Tanzania Dr Kitila aliyatabiri haya; Uchaguzi mdogo janga CHADEMA

    UTAFITI WA KITILYA NI WA MFA MAJI, COZ NI SAWA NA MFUNGWA KUTAFITI MAISHA YA HAKIMU ALIYEMHUKUMU . Kama CDM AMEWEZA KUCHUKUA KATA MBILI ZA CCM TENA ZA MJINI LICHAMA LILILOKAA MADARAKANI MIAKA LUKUKI, A A A A NI USHINDI KWA CDM. MUOMBE MUNGU DAFTARI LA WAPIGA KURA LISIBORESHWE NA MWIGULU APATE...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mh.Mbowe yazua Utata kwa Wakazi wa Geita tarehe 27/1/2014

    Acha kuwasingizia wana geita ww. Ndo umetumwa a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a ?
Back
Top Bottom