Ndio, hao nii mtu na mkewe. Kundi lilivunjika baada ya kuingiza mapenzi kazini Hali iliyopelekea kushindwa kutoa na kupokea amri za kiutendaji.
Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
Ikiwa kumetokea utata katika majina yako pamoja na mpangilio wa majina hayo (kwamba jina la kwanza ni lipi, la pili na la tatu kwa mpangilio unaotakiwa) Nakushukuru uwende Mahakama iliyo karibu nawe wakupe maelekezo na ULE kiapo cha uthibitisho wa majina yako.
Angalizo: Ikiwa una mpango wa...
Nassib Abdul (Daimond) ni mjanja na anajua kulishika soko la muziki, maafisa masoko wake ni wazuri na wanajua wanachokifanya. Ndo maana hata mleta uzi kamfungulia uzi. Kibiashara ni kuwa kiki yake imetiki maana kwa uzi huu kila mmoja wetu atatafuta huo wimbo hivyo Bwana mdogo ukwasi utaongezeka...
Mheshimiwa! Acha kumsingizia paka kuwa akinya mavi anajipaka, mimi nafuga paka na sijawai kumuona akijipaka mavi japo huwa namuona akinya.
Kuhusu Mwanaume kuchuchumaa wakati akienda haja ndogo inategemea amekulia mazingira na tamaduni zipi pia nahisi kuwa mnapigia chapuo (promote) mila za...
Siyo "zakali" bali ni "dhakari" kuhusu mwanaume kuchuchumaa akienda haha ndogo sikubaliani na wewe labda ungesema kusogea karibu na chombo ili mkono usiruke Sana au kuweka maji kabla ya kukojoa.
Kama ameomba msamaa ni jambo zuri, kwa maana kauli ile haikuwa na maslahi yote kwako, binafsi naamini kuwa maneno yale yalimponyoka Waziri wa Urusi haikuwa dhamira yake wala yao.
Hata Biden aliwahi kutoa kauli ya kutomtambua Putin lakini msemaji wa white house alisema kuwa kauli hiyo ni yake...
Usemacho ni kweli, wamekutana mara nyingi hasa sehemu ambazo kila mmoja huwa ana maslahi yake. Lakini Russia walipoichukua Crimea USA/NATO hawakutoa ushirikiano kama wanaoutoa sasa. Hii ndiyo iliyonipelekea kusema kuwa Putin hakutegemea.
Vita hii itaendelea kwa muda mrefu kwa kuwa hivi sasa imekuwa ni vita ya Russia dhidi ya NATO kinyume cha Putin ambaye lengo lake ilikuwa ni kupigana na Ukraine pekee.
Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi la watu wengi kupinga mfumo dume kwa kusema, eti uondolewe, hawautaki na ni mfumo wa kikandamizaji. Hii imetokana na propaganda za mashirika ya Ulaya na Marekani kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO'S).
Binafsi nimefanya utafiti na kugundua kuwa baadhi...
Ni utafiti rasmi au ni mawazo yako tu!!? Kama ni kuzini KWA kutamani hata wao wanazini, ni vile hatujui wanafanya kwa asilimia ngapi. Rudi kafanye utafiti zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.